Kutoa umeme wa 27000 hadi 330,000Hali gani
Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema kazi inafanyika na dhamira nzuri ipo na anachoomba uelewa na uwepo wa subira pamoja na kutiwa moyo.
"Kazi inafanyika na dhamira nzuri ipo tunachoomba ni uelewa na subira tunaomba kutiwa moyo kama hali imeboreka semeni kwamba Sasa hivi ni bora kuliko ilivyokua mkisema sio tunanyong'onyea sababu tumetumia pesa tumetumia muda kurekebisha hii hali" amesema Makamba
Chanzo TBC
Hulalagi ww kutwa upo mitandaoni!?Noma sana !!
Mweeee labda hali ya hewa. Laana ya kumzodoa shujaa. Mtoto wa nyoka ni nyoka baada ya invention ya ulambaji asali anayo mengi ya kutujibuHali gani
Mweeee labda hali ya hewa. Laana ya kumzodoa shujaa. Mtoto wa nyoka ni nyoka baada ya invention ya ulambaji asali anayo mengi ya kutujibu. Hivi bado hajauwawa ?
Púmbú zakeWaziri wa Nishati, Januari Makamba amesema kazi inafanyika na dhamira nzuri ipo na anachoomba uelewa na uwepo wa subira pamoja na kutiwa moyo.