Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema kazi inafanyika na dhamira nzuri ipo na anachoomba uelewa na uwepo wa subira pamoja na kutiwa moyo.
"Kazi inafanyika na dhamira nzuri ipo tunachoomba ni uelewa na subira tunaomba kutiwa moyo kama hali imeboreka semeni kwamba Sasa hivi ni bora kuliko ilivyokua mkisema sio tunanyong'onyea sababu tumetumia pesa tumetumia muda kurekebisha hii hali" amesema Makamba
Chanzo TBC