Kwa hiyo yeye hakuwepo kwenye kundi la waliomsengenya Magufuli na wakadukuliwa??Mbona huku ni kulalamika kusiko na sababu
Wewe ni nani pale wizarani
Keleman anaende kuzinddua nyumba mbili anasema umeme umefika tanzania nzima ndio mnayempenda
Mnapenda uongo uongo
Professionalism hautaki uongo
Makamba yuko kwenye professional sio ukanjanja