Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Mkuu ata kama mkandarasi hana lakini sio kwakusema Tanzania nzima hatuna hiyo crane ni uongo wa mchana kweupe! Yale berms pale kwenye daraja za SGR toka Station mpaka shaurimoyo yale maberms yalikuwa na uzito wa tani 90 lakini kule juu yalienda inashindika vipi kwa kitu cha uzito wa tani 26?Ndo maana taifa Ili liko pale pale ,Ili bwawa limeisha ongiza mapesa kibao utashangaa wanaachana nalo na kufuata Mambo mengine ,alafu iyo kazi ya kutafuta winchi kuitafuta si ni kazi ya mkandarasi au
Kama ndo ivyo basi mkandarasi anachotakiwa ni kumaliza kazi KWa MJIBU wa mkataba wake waziri acha ingiza siasa kwenye miradi ya kitaifa ambayo imewasomesha watz namber miaka 6 sasa
Sent using Jamii Forums mobile app