Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kuna mchezo unachezwa na January, awe makini, sbb Hili Bwawa la Nyerere naona kama vile analipinga kiaina. Hivi winchi ni kitu cha kusema haipo, tena waziri mzima, kabla hata ya mradi kuanza, inajulikana kila aina ya nyenzo zinazohitajika kwa kazi fulani, na hiyo ndio kazi ya mkandarasi, alafu huyo mkandarasi ana uwezo mkubwa tu. Alafu waziri anasema easily hakuna winchi, hii ni njia ya makusudi kuchelewesha mradi au kuuhujumu, imagine JPM angekuwa hai ndio Rais, hivi Makamba angedhubutu au waziri yeyote kusema haya? Kwanza hii ni dharau kwa SSH.
Huyu mkandarasi mkubwa ni wa kukosa winchi ya kunyenyua chuma cha tan 26
Endelea kushabikia CCM .