Waziri Makamba: Msitegemee wala kutarajia bwawa la mto Rufiji kujazwa maji mwezi Machi

Waziri Makamba: Msitegemee wala kutarajia bwawa la mto Rufiji kujazwa maji mwezi Machi

Kuna mchezo unachezwa na January, awe makini, sbb Hili Bwawa la Nyerere naona kama vile analipinga kiaina. Hivi winchi ni kitu cha kusema haipo, tena waziri mzima, kabla hata ya mradi kuanza, inajulikana kila aina ya nyenzo zinazohitajika kwa kazi fulani, na hiyo ndio kazi ya mkandarasi, alafu huyo mkandarasi ana uwezo mkubwa tu. Alafu waziri anasema easily hakuna winchi, hii ni njia ya makusudi kuchelewesha mradi au kuuhujumu, imagine JPM angekuwa hai ndio Rais, hivi Makamba angedhubutu au waziri yeyote kusema haya? Kwanza hii ni dharau kwa SSH.
Huyu mkandarasi mkubwa ni wa kukosa winchi ya kunyenyua chuma cha tan 26


Endelea kushabikia CCM .
 
Makampuni yanayojenga madaraja huko lusisi mwanza,SGR, caspian,na Tanzanite jamaan angalieni tusiondolewe ufaham.hizo winching zikodishwe huko.labda kwa kuwa hatujafanyia utafiti hatutaweza kuwa na majibu toshelezi.naamini katika mpango kila kitu kinatakiwa kiwe mahali pake.
 
Wewe ndie takataka mmoja usie na maana hapa kabisa, yale mapropaganda yako ya hovyo kuhusu Mbowe yameishia wapi? umeshapeleka ule "ushahidi" mahakamani?

Kwani nani anamzuia mleta mada kumjadili Makamba? ungekuwa na akili timamu ungejiuliza kama hayo maneno ni kweli ameyatamka Makamba au hapana.

Kama kweli ameyatamka upeleke upuuzi wako kwa huyo bwana wako anaekutumia kumsafisha huku kwa tabia zake za hovyo za 10%
Propaganda za Mbowe hazinihusu, muache apambane na Mahhakama. Utakufa na kijiba cha roho kwa kufikiria 10% ya mwenzio.

10% hata Nabii Abraham alimtolea Kuhani Melchzedeck, sembuse ya binadamu wa Leo. Just admit the guy is over above your level
 
Alyejiunga humu 2011 tumuitaje ewe kilaza?!

Mbona unaishi kwa kukariri kwamba unapoona new member humu ndiyo unamhukumu kwalo?

Mangula alikuwa boss CCM na alipumzika kwa muda je unahabari na sasa ni boss CCM?

Jiongeze ewe klza na si kila mgeni unapomuona ktk kijiji ulichohamia ni mgeni wengine ni wenyeji kuliko wewe pengine walilowea mjini ndiyo maana hukuwakuta ulipohamia kwenye kijiji hicho...bldfckn!
I know that utakuwa ulikuwa na different ID, then umebadili ID purposefully. Na naziona sababu zako za kubadili ID ziko na premeditated ill motive. Na ndiyo maana unajibu kwa jazba kwa kiniita kilaza because I got you by the balls
 
Aisee kwa Waziri huyo tumepigwa!

Leo bungeni amedai Tanzania nzima eti hakuna winchi lenye uwezo wa kubeba milango yenye uzito wa tani 26 ili kuziba milango iliyokuwa inachepusha maji ili ujenzi wa bwawa uendelee.

Kadai winchi hilo hadi litoke nje ya Nchi 😂.

Hivi huyo jamaa anatuona hamnazo eti?!

Mawinchi mamia yaliyojaa Tanzania hii ambayo hata Waturuki wa SGR wanayo kibao ajabu leo tunadanganywa eti Nchi nzima hayapo?!
Makamba anafanya kazi ilimleta hapo yaani kuja kuchelewesha na kama siyo kuja kuua mradi wote mtaona tuu maji yalikuwa yajazwe mwezi huu JPM dead na Kalema out kazi iendelee KAZI IPI IENDELEE??? YA UHUJUMU NA UPIGAJI hamkuelewa Samia alisema tu Kazi iendelee yaaah mazozo wakalifurahia neno bila kujua maana yake poleni
 
Kuna mchezo unachezwa na January, awe makini, sbb Hili Bwawa la Nyerere naona kama vile analipinga kiaina. Hivi winchi ni kitu cha kusema haipo, tena waziri mzima, kabla hata ya mradi kuanza, inajulikana kila aina ya nyenzo zinazohitajika kwa kazi fulani, na hiyo ndio kazi ya mkandarasi, alafu huyo mkandarasi ana uwezo mkubwa tu. Alafu waziri anasema easily hakuna winchi, hii ni njia ya makusudi kuchelewesha mradi au kuuhujumu, imagine JPM angekuwa hai ndio Rais, hivi Makamba angedhubutu au waziri yeyote kusema haya? Kwanza hii ni dharau kwa SSH.
Huyu mkandarasi mkubwa ni wa kukosa winchi ya kunyenyua chuma cha tan 26

Niliwahi kusema awali, hatuna waziri kwenye wizara hii, ila Kuna mtu kaletwa for plan, anamission kabisa, na mpango kazi, kwamba ataanza na kuwaondoa watendaji pale tanesco, then anakuja na mkataba cjui wa nn ule wa wahindi, halafu ndo bwawa na Kisha mgao, then jenereta zinaingizwa tunapigwa Tena,

Ila ukwel Ni huu ajipange tu kunasiku atajib wether akiwa madarakan au akiwa hayupo, Ni swala la Muda tu maana walishatufanya mazuzu na Tim msoga..

#tumepigwa na kitu kizito kichwani.
 
Aisee kwa Waziri huyo tumepigwa!

Leo bungeni amedai Tanzania nzima eti hakuna winchi lenye uwezo wa kubeba milango yenye uzito wa tani 26 ili kuziba milango iliyokuwa inachepusha maji ili ujenzi wa bwawa uendelee.

Kadai winchi hilo hadi litoke nje ya Nchi 😂.

Hivi huyo jamaa anatuona hamnazo eti?!

Mawinchi mamia yaliyojaa Tanzania hii ambayo hata Waturuki wa SGR wanayo kibao ajabu leo tunadanganywa eti Nchi nzima hayapo?
Ndo maana taifa Ili liko pale pale ,Ili bwawa limeisha ongiza mapesa kibao utashangaa wanaachana nalo na kufuata Mambo mengine ,alafu iyo kazi ya kutafuta winchi kuitafuta si ni kazi ya mkandarasi au

Kama ndo ivyo basi mkandarasi anachotakiwa ni kumaliza kazi KWa MJIBU wa mkataba wake waziri acha ingiza siasa kwenye miradi ya kitaifa ambayo imewasomesha watz namber miaka 6 sasa
 
Utetezi mwingine kama huu hauna hata maana, Magufuli alikuta mradi wa umeme wa gas na uzalishaji umeshaanza. Ni kwanini apeleke 7t kwenye mradi mpya wa maji kuleta 2,115mg, kwani angeingiza 3t kwenye mradi wa gas tusingepata hizo 2,115mg? Au yeye Magufuli alikuwa anaharibu image ya JK? Tumekuwa nchi ya wajinga, kila rais akiingia anakuja na miradi ya kusaka sifa zake,matokeo yake tunabaki na mamiradi yaliyo chini ya kiwango, na madeni ya kutisha.
Hyo project ilikuwa inaufisadi wa kudondoka mtu,

#tukumepigwa na kitu kizito kichwani
 
Makamba amewekwa pale kimkakati[emoji28] mtaumiza sana akili ila rest assured dogo yupo wizarani ili kuipa uhai michongo ya mstaafu anayelima mapapai chalinze [emoji28]!


Gas ina faida by far kwa mstaafu yule, na kisa cha yeye kuwekwa kwenye nafasi ile ni by influence ya mstaafu. Unaweza kuona win win situation, mkataba wa Stieglers hauna manufaa yoyote kwao hasa kwenye swala la 10% so hata wakiuwa mradi kwao sio ishu ila ile gas ikikamilishwa kule dirty south wao watapata mkate wao wa kila siku! So dhamira ni kufelisha huku na kupeleka nguvu kule ili umeme ukishaanza kufuliwa hela zianze kuingia kwenye tributaries zao.

Akiwa na power awanie u president kabisa ili atengeneze michongo zaidi.
Kwa taratibu hizi bas tumekwisha wallah, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haya mambo ya kukosa umeme mbadala si yalianza kujadiliwa hata kabla ya white hair kumwaga manyanga? Umeme wa upepo vipi? au umekwama kwenye hansad za bunge.
 
Wana JF,
Najuwa JUKWAA la JF ni mahala pa Watanzania wote kujieleza maoni yao bila woga. Ila unapoona member mpya ameingia siku 2 zikizopita na ameshupalia mada za aina Moja tambua kuwa ana matatizo.

Naomba muendelee ku-monitor mada za Suzy Elias zimejikita kwenye umeme na January Makamba. Ni angalizo tu
Yupo hapa kimkakati ili kumchafua Makamba.
 
Back
Top Bottom