Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Kwani Mkamba umemjua leo kuwa uo mradi hautaki? Alianza kipindi yuko Waziri wa Mazingira na mambo ya Muungano, walikuwa na kamati yao ya kutamini athali zitakazotokana na na uo mradi wakati wa ujenzi na namna ya kuziepuka! Nilishangaa walikuja kupemdekeza choo kiwe kilometer 10 toka eneo la mradi unapotekelezwa then katika eneo ilo lisondondokee oil! Just imagine eneo kama kama lile lenye mitambo kibao eti oil isidondokee.....!Kuna mchezo unachezwa na January, awe makini, sbb Hili Bwawa la Nyerere naona kama vile analipinga kiaina. Hivi winchi ni kitu cha kusema haipo, tena waziri mzima, kabla hata ya mradi kuanza, inajulikana kila aina ya nyenzo zinazohitajika kwa kazi fulani, na hiyo ndio kazi ya mkandarasi, alafu huyo mkandarasi ana uwezo mkubwa tu. Alafu waziri anasema easily hakuna winchi, hii ni njia ya makusudi kuchelewesha mradi au kuuhujumu, imagine JPM angekuwa hai ndio Rais, hivi Makamba angedhubutu au waziri yeyote kusema haya? Kwanza hii ni dharau kwa SSH.
Sent using Jamii Forums mobile app