Freiston
JF-Expert Member
- Oct 25, 2020
- 302
- 340
Eeh Mungu Baba wa Mbinguni, twakuomba utusamee pale tulipokukosea. Tusamehe eeh Bwana wa majeshi. JPM hakika tulipaswa kukuombea zaid labda Mungu angekupa muda zaidi... roho yngu dah.Aisee kwa Waziri huyo tumepigwa!
Leo bungeni amedai Tanzania nzima eti hakuna winchi lenye uwezo wa kubeba milango yenye uzito wa tani 26 ili kuziba milango iliyokuwa inachepusha maji ili ujenzi wa bwawa uendelee.
Kadai winchi hilo hadi litoke nje ya Nchi 😂.
Hivi huyo jamaa anatuona hamnazo eti?!
Mawinchi mamia yaliyojaa Tanzania hii ambayo hata Waturuki wa SGR wanayo kibao ajabu leo tunadanganywa eti Nchi nzima hayapo?!
Winchi... ndo maana Kalemani aliondolewa. Vunjeni kbs tujue moja...