YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Uko sahihi mamlaka ya Bandari wanazo wakachukue hapoTanzania kuna winchi yenye uwezo wa kubeba hadi tani mia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi mamlaka ya Bandari wanazo wakachukue hapoTanzania kuna winchi yenye uwezo wa kubeba hadi tani mia
Aliamza na neno "KUMBE"Waziri Mulamula: Arab Contactors ni kampuni kubwa sana inayoheshimika!
Tulimtukana MagufuliJP sana. Tuliposema nchi hii inahitaji kauzu hamkuelewa. Ngoja mkione cha moto kwanza. Na bado mtaambiwa kejeli zote hapa duniani hadi mkione cha mtemakuni. Ila mjue hadi 2025 nchi itakuwa paralyzedHivi winchi ni kitu cha kusema haipo, tena waziri mzima, kabla hata ya mradi kuanza, inajulikana kila aina ya nyenzo zinazohitajika kwa kazi fulani, na hiyo ndio kazi ya mkandarasi, alafu huyo mkandarasi ana uwezo mkubwa tu. Alafu waziri anasema easily hakuna winchi, hii ni njia ya makusudi kuchelewesha mradi au kuuhujumu, imagine JPM angekuwa hai ndio Rais, hivi Makamba au waziri yeyote angethubutu kusema haya? Kwanza hii ni dharau kwa SSH.
Mama Samia Rais wangu, angalia sana huyu January, juzi kati tena tumesikia Tanesco wameingia mkataba wa USD 30 mil.. Takriban 69 bil tshs. Jamani, Mh. Rais mchunge huyu mtu, hatujakaa sawa mara gharama za kuchimba gesi tril 70.. Eeeeh eeeh, Mama yangu jamani, ebu mwangalie kwa umakini sana huyu January. Tril 70 ni gharama zote hizo kweli kwa ajili ya gesi kweli? Matrilioni hayoo jamaniiiii, OMG. Sasa kama ni tril 70, hiyo gesi hao wawekezaji si watatumia miaka 100 hadi warudishe gharama zao.. Mwanzoni tuliambiwa gharama ni tril 40 tu, ghafla imekuwa tril 70 za Tshs.
Winchi hata Yono analo!Lakini hawana "winchi"!
Kuna aliyemuuliza ukubwa wa hiyo kampuni, au kajistukia mwenyewe?
Hoja ya kutokuwepo kwa "forklift" hapa nchini yenye uwezo wa kubeba kitu kizito chenye uzito wa tani 26, yaani 26,000Kg ni jambo la kushangaza sana. Forklift za Fantuzzi ambazo zinabeba makasha katika bandari zetu mbona zina uwezo huo!Aisee kwa Waziri huyo tumepigwa!
Leo bungeni amedai Tanzania nzima eti hakuna winchi lenye uwezo wa kubeba milango yenye uzito wa tani 26 ili kuziba milango iliyokuwa inachepusha maji ili ujenzi wa bwawa uendelee.
Kadai winchi hilo hadi litoke nje ya Nchi [emoji23].
Hivi huyo jamaa anatuona hamnazo eti?!
Mawinchi mamia yaliyojaa Tanzania hii ambayo hata Waturuki wa SGR wanayo kibao ajabu leo tunadanganywa eti Nchi nzima hayapo?!
Inaonesha kuna kundi kubwa la watu influential linaupinga mradi wa umeme wa Rufiji, tushukuru JPM aliukimbiza huu mradi kiasi kwamba umefika mbali kwamba kuureverse haiwezekani hivyo kinachofanyika ni kuuhujumu ili uchelewe au usiwe na manufaa kwa nchi.Kuna mchezo unachezwa na January, awe makini, sbb Hili Bwawa la Nyerere naona kama vile analipinga kiaina. Hivi winchi ni kitu cha kusema haipo, tena waziri mzima, kabla hata ya mradi kuanza, inajulikana kila aina ya nyenzo zinazohitajika kwa kazi fulani, na hiyo ndio kazi ya mkandarasi, alafu huyo mkandarasi ana uwezo mkubwa tu. Alafu waziri anasema easily hakuna winchi, hii ni njia ya makusudi kuchelewesha mradi au kuuhujumu, imagine JPM angekuwa hai ndio Rais, hivi Makamba angedhubutu au waziri yeyote kusema haya? Kwanza hii ni dharau kwa SSH.
Makamba yupo na Rais Samia Misri. Hayo maneno kaongelea Bunge la wapi?Aisee kwa Waziri huyo tumepigwa!
Leo bungeni amedai Tanzania nzima eti hakuna winchi lenye uwezo wa kubeba milango yenye uzito wa tani 26 ili kuziba milango iliyokuwa inachepusha maji ili ujenzi wa bwawa uendelee.
Kadai winchi hilo hadi litoke nje ya Nchi 😂.
Hivi huyo jamaa anatuona hamnazo eti?!
Mawinchi mamia yaliyojaa Tanzania hii ambayo hata Waturuki wa SGR wanayo kibao ajabu leo tunadanganywa eti Nchi nzima hayapo?!
Msameheni mm nimeanza kutumia jamiiforumTz toka 2013.....lakin angalia id yangu ya sasa ni ya lini? Hajui kwamba unaweza kuwa na apps ya jamiiforum ukawa unasoma thread bila kuwa na id? Faida ya kuwa na id ni kuanzisha thread, kukoments, kuwa na pm, na mengine kama likesHii akili yenu ya kipumbavu eti kuwa jf toka karne iliyopita ndio huwezi kuandika pumba sijui mmeitoa wapi na wajinga wenzako, elder anaheshimiwa kwa mawazo yake, sio kwa umri wake, kuwa elder mwenye akili ya kitoto ni upuuzi tu kama ulivyo upuuzi mwingine.
Uko sahihi waende bandarini wakachukua hizo cranesHoja ya kutokuwepo kwa "forklift" hapa nchini yenye uwezo wa kubeba kitu kizito chenye uzito wa tani 26, yaani 26,000Kg ni jambo la kushangaza sana. Forklift za Fantuzzi ambazo zinabeba makasha katika bandari zetu mbona zina uwezo huo!
Waziri Mulamula: Arab Contactors ni kampuni kubwa sana inayoheshimika!
Kalemani mwishoni kabla hajafukuzwa alirekebisha muda na ukawa hadi March next year
Mimi niko huku kwenye mradi najionea kinachoendelea huku Wao wenyewe JV wamejenga crane kubwa yenye uwezo mkubwa wa kubeba mzigo wowote inauwezo wa kunyanyua na kutembea kwenye reli yake angalia hayo Mawe hapo hapo 8 kula upande =16 kila moja lina uzito wa tani 10
View attachment 2007354
Safari ya Misri ni kujadiri ahirisho la Ujenzi wa Bwawa
Utetezi mwingine kama huu hauna hata maana, Magufuli alikuta mradi wa umeme wa gas na uzalishaji umeshaanza. Ni kwanini apeleke 7t kwenye mradi mpya wa maji kuleta 2,115mg, kwani angeingiza 3t kwenye mradi wa gas tusingepata hizo 2,115mg? Au yeye Magufuli alikuwa anaharibu image ya JK? Tumekuwa nchi ya wajinga, kila rais akiingia anakuja na miradi ya kusaka sifa zake,matokeo yake tunabaki na mamiradi yaliyo chini ya kiwango, na madeni ya kutisha.Kuna mchezo unachezwa na January, awe makini, sbb Hili Bwawa la Nyerere naona kama vile analipinga kiaina. Hivi winchi ni kitu cha kusema haipo, tena waziri mzima, kabla hata ya mradi kuanza, inajulikana kila aina ya nyenzo zinazohitajika kwa kazi fulani, na hiyo ndio kazi ya mkandarasi, alafu huyo mkandarasi ana uwezo mkubwa tu. Alafu waziri anasema easily hakuna winchi, hii ni njia ya makusudi kuchelewesha mradi au kuuhujumu, imagine JPM angekuwa hai ndio Rais, hivi Makamba angedhubutu au waziri yeyote kusema haya? Kwanza hii ni dharau kwa SSH.
Ungejikita tu na CDM yako hii kujifanya CCM nje ndani haikupeleki popote nenda kadai katibaNaamini Makamba anaelewa anachosema.