edwayne
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 8,919
- 9,797
Sasa likiisha unafikiri biashara ya mafuta si itakufa maana umeme ukiwepo maana yake mafuta ya kuendesha magenerator hayatotumikaKuna mchezo unachezwa na January, awe makini, sbb Hili Bwawa la Nyerere naona kama vile analipinga kiaina.