Waziri Makamba: Msitegemee wala kutarajia bwawa la mto Rufiji kujazwa maji mwezi Machi

Waziri Makamba: Msitegemee wala kutarajia bwawa la mto Rufiji kujazwa maji mwezi Machi

Huyu ndugu MAKAMBA alipinga wakati akiwa waziri wa mazingira akidai kujenga BWAWA la nyerere athari ni kubwa kuliko faida, wakati mambo yako tofauti, hivi huyu MAKAMBA siku awe rais nchi itaelekea wapi?? Jamani muogopeni Mungu, Yani inauma Sana kwa matendo yenu ya hovyo, MAKAMBA kuongea point na kutetea hoja Yuko vzr,Ila matendo yake Sasa !!!
 
Wana JF,
Najuwa JUKWAA la JF ni mahala pa Watanzania wote kujieleza maoni yao bila woga. Ila unapoona member mpya ameingia siku 2 zikizopita na ameshupalia mada za aina Moja tambua kuwa ana matatizo.

Naomba muendelee ku-monitor mada za Suzy Elias zimejikita kwenye umeme na January Makamba. Ni angalizo tu
Wewe huna lolote ni mnafiki tu. Huna msimamo yani tumekudharau sana siku hizi. Tulidhanmpambanaji. Yani wee jamaaa tukutane uso kwa uso nawe, a kukuzaba mfululizo wa makofi.

brazaj
 
Mimi niko huku kwenye mradi najionea kinachoendelea huku Wao wenyewe JV wamejenga crane kubwa yenye uwezo mkubwa wa kubeba mzigo wowote inauwezo wa kunyanyua na kutembea kwenye reli yake angalia hayo Mawe hapo hapo 8 kula upande =16 kila moja lina uzito wa tani 10

View attachment 2007354
Utadhan ni msingi wa magorofa ya Kariakoo yanavyojengwa
 
We kituko achana na mimi tafadhari tena Komaaa mwana usiye na haya!

Jana ume zima hovyo!

Nimekwambia wenye vyeti fake hawarejeshwi ofisini endelea kupambana na hali yako simbilizi!
Polepole katika ubora wako
 
Paruaneneni kivyenu vyenu huko. Mmebaki kumuonea braza Mbowe na wengine. Kufeni kabisa. Mbowe mnamsweka ndani kisa mnaogopa katiba mpya ikipatikana ubadhirifu kama huu mnaufanya hamtapona.
Mbowe ni gaidi anastahili kunyongwa au kifungo Cha maisha
 
Aisee kwa Waziri huyo tumepigwa!

Leo bungeni amedai Tanzania nzima eti hakuna winchi lenye uwezo wa kubeba milango yenye uzito wa tani 26 ili kuziba milango iliyokuwa inachepusha maji ili ujenzi wa bwawa uendelee.

Kadai winchi hilo hadi litoke nje ya Nchi 😂.

Hivi huyo jamaa anatuona hamnazo eti?!

Mawinchi mamia yaliyojaa Tanzania hii ambayo hata Waturuki wa SGR wanayo kibao ajabu leo tunadanganywa eti Nchi nzima hayapo?!
Na yale yanayoshusha makontaina ya tani 40 mikoani, yale yanayo inua concrete chasis za madaraja ya SGR, kweli Makatani anatuingiza chaka,
 
Back
Top Bottom