Waziri Makamba na mitungi ya Taifa Gas

Waziri Makamba na mitungi ya Taifa Gas

Unaweza kuta n kampuni yake Rostam yuko Kama ageresha au bosheni tu
 
Nimekuwa nikifatilia ziara za huko mikoani ambapo Waziri wa Nishati, Januari Makamba akihamasisha na namna ya kutumia nishati ya gesi na kupunguza matumizi ya mkaa na kuni.

Katika ziara yake amekuwa akigawa mitungi ya Taifa gas inayomilikiwa na mfanyabiashara Rostam Aziz.

Naona kama Mh. Makamba kaamua kuipigia debe kampuni binafsi ya Taifa gas, kwanini asitumie na mitungi ya kampuni nyinginezo?

Naombeni mnijuzeView attachment 2293239
Usikute kapewa free na Rostam
 
Serikali imejaa mafisadi watupu
 
Kwa namna ulivyouliza. Inaonekana hata kama angetumia mitungi mingine bado ungehoji
 
Mwendazake alikuwa na hisa kwenye haya makampuni/viwanda/taasisi.
Voda.
Tigo
Taifa Gas.
Bagamoyo Sugar.
Vitambulisho vya machinga.
Etc.
Hizo hisa familia inazijua!?
Vipi kuhusu yale mabilioni yaliofishwa kwa wafanyabiashara kama kampuni zile tatu za ukandarasi!!???
Angekua na hisa huko na jinsi mlivyokua mmempania, mngekua mshaweka wazi hadharani
 
Mazingira hayatakua salama kama hakutokua na kipimo Cha chini.

Mkaa unatumika sana ,sio kwa sababu ni Bei nafuu.

Mkaa ni ghali Kuriko Gas, sema nafuu yake Kuna kipimo hadi Cha 1000.
Mkaa ni ghali kuliko gesi? Kivpi?
 
Nimekuwa nikifatilia ziara za huko mikoani ambapo Waziri wa Nishati, Januari Makamba akihamasisha na namna ya kutumia nishati ya gesi na kupunguza matumizi ya mkaa na kuni.

Katika ziara yake amekuwa akigawa mitungi ya Taifa gas inayomilikiwa na mfanyabiashara Rostam Aziz.

Naona kama Mh. Makamba kaamua kuipigia debe kampuni binafsi ya Taifa gas, kwanini asitumie na mitungi ya kampuni nyinginezo?

Naombeni mnijuzeView attachment 2293239

Januari Makamba Kama gas iliyopo kwenye hii mitungi ya Taifa gas itaisha , hao ulio wapa wataruhusiwa kwenda kununua gas Kwenye kampuni ya Orxy kwa kutumia mitungi ya Taifa gas? Nimeuliza tu.​

Nimekuwa nikifatilia ziara za huko mikoani ambapo Waziri wa Nishati, Januari Makamba akihamasisha na namna ya kutumia nishati ya gesi na kupunguza matumizi ya mkaa na kuni.

Katika ziara yake amekuwa akigawa mitungi ya Taifa gas inayomilikiwa na mfanyabiashara Rostam Aziz.

Naona kama Mh. Makamba kaamua kuipigia debe kampuni binafsi ya Taifa gas, kwanini asitumie na mitungi ya kampuni nyinginezo?

Naombeni mnijuzeView attachment 2293239
Huyu mpuuzi anafanya siasa tu
 
Back
Top Bottom