residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Po
Pole sana mjane,naona hujamaliza tu eda!!Akili yako inakisonono
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mjane,naona hujamaliza tu eda!!Akili yako inakisonono
Usikute kapewa free na RostamNimekuwa nikifatilia ziara za huko mikoani ambapo Waziri wa Nishati, Januari Makamba akihamasisha na namna ya kutumia nishati ya gesi na kupunguza matumizi ya mkaa na kuni.
Katika ziara yake amekuwa akigawa mitungi ya Taifa gas inayomilikiwa na mfanyabiashara Rostam Aziz.
Naona kama Mh. Makamba kaamua kuipigia debe kampuni binafsi ya Taifa gas, kwanini asitumie na mitungi ya kampuni nyinginezo?
Naombeni mnijuzeView attachment 2293239
Serikali imejaa mafisadi watupuNimekuwa nikifatilia ziara za huko mikoani ambapo Waziri wa Nishati, Januari Makamba akihamasisha na namna ya kutumia nishati ya gesi na kupunguza matumizi ya mkaa na kuni.
Katika ziara yake amekuwa akigawa mitungi ya Taifa gas inayomilikiwa na mfanyabiashara Rostam Aziz.
Naona kama Mh. Makamba kaamua kuipigia debe kampuni binafsi ya Taifa gas, kwanini asitumie na mitungi ya kampuni nyinginezo?
Naombeni mnijuzeView attachment 2293239
Angekua na hisa huko na jinsi mlivyokua mmempania, mngekua mshaweka wazi hadharaniMwendazake alikuwa na hisa kwenye haya makampuni/viwanda/taasisi.
Voda.
Tigo
Taifa Gas.
Bagamoyo Sugar.
Vitambulisho vya machinga.
Etc.
Hizo hisa familia inazijua!?
Vipi kuhusu yale mabilioni yaliofishwa kwa wafanyabiashara kama kampuni zile tatu za ukandarasi!!???
Mkaa ni ghali kuliko gesi? Kivpi?Mazingira hayatakua salama kama hakutokua na kipimo Cha chini.
Mkaa unatumika sana ,sio kwa sababu ni Bei nafuu.
Mkaa ni ghali Kuriko Gas, sema nafuu yake Kuna kipimo hadi Cha 1000.
Nimekuwa nikifatilia ziara za huko mikoani ambapo Waziri wa Nishati, Januari Makamba akihamasisha na namna ya kutumia nishati ya gesi na kupunguza matumizi ya mkaa na kuni.
Katika ziara yake amekuwa akigawa mitungi ya Taifa gas inayomilikiwa na mfanyabiashara Rostam Aziz.
Naona kama Mh. Makamba kaamua kuipigia debe kampuni binafsi ya Taifa gas, kwanini asitumie na mitungi ya kampuni nyinginezo?
Naombeni mnijuzeView attachment 2293239
Huyu mpuuzi anafanya siasa tuNimekuwa nikifatilia ziara za huko mikoani ambapo Waziri wa Nishati, Januari Makamba akihamasisha na namna ya kutumia nishati ya gesi na kupunguza matumizi ya mkaa na kuni.