Waziri Makamba: Ninatukanwa sana lakini nitalipa kisasi kwa matokeo

Waziri Makamba: Ninatukanwa sana lakini nitalipa kisasi kwa matokeo

wananchi tumemuelewa kwa ufafanuzi alio ufanya.
achape kazi, asiwasikilize wenye chuki na wivu.
 
Wewe una chuki zako tu za hovyo. Makamba ni waziri mzuri sana na hajawahi kushindwa katika wizara yoyote. Kumbuka yeye ndie aliyefanikisha suala la kuondoa mifuko ya plastiki bila hata kumuumiza au kumfunga yoyote. Wewe maumivu yako ni kwa Kalemani kuondolewa pale na si vinginevyo.
Ile ilikuwa nyota ya Magufuli,

Ikitokea sasa hivi hakuna kitu kitawezekana
 
Hiyo kulipa kisasi Kwa matokeo atakuwa amejipa hati miliki ya wizara hadi atoe matokeo ya wanaomsema Kwa utendaji wake au akimaanisha mtawala hana Meno ya kumg'ata Kwa sasa.
 
Kwenye wizara ya Mazingira alihakikisha hakuna mifuko ya plastiki na kazi nyingi tu za alama. Hapa kwenye nishati the fact kwamba as a minister of wazungu wamekubali kuweka $40B kwenye LNG Lindi, mradi mkubwa katika historia ya nchi.

Haya mradi mkubwa wa solar East Africa unaanza June, haya biggest investment in grid ever inafanyika sasa hivi. Bado vijiji 2000 tu nchi nzima kufikiwa na umeme.

Sooo talk your shit. But its probably hate driven.

😂😂



Soo
Wazungu kuweka hela nyingi hivyo kirahisi ni matokeo ya wao ku collude na corrupt African leaders kwenye Project. Washachora ramani watanufaika zaidi na Guarantor ni waziri.

Hapo kitakachotokea ni waziri kukatiwa 10% ya fedha hizo ili asaini mkataba na hio Gas iibiwe for insane number of years. Tunawajua na hio michezo yao
 
Back
Top Bottom