Waziri Makamba: Ninatukanwa sana lakini nitalipa kisasi kwa matokeo

wananchi tumemuelewa kwa ufafanuzi alio ufanya.
achape kazi, asiwasikilize wenye chuki na wivu.
 
Ile ilikuwa nyota ya Magufuli,

Ikitokea sasa hivi hakuna kitu kitawezekana
 
Hiyo kulipa kisasi Kwa matokeo atakuwa amejipa hati miliki ya wizara hadi atoe matokeo ya wanaomsema Kwa utendaji wake au akimaanisha mtawala hana Meno ya kumg'ata Kwa sasa.
 
Wazungu kuweka hela nyingi hivyo kirahisi ni matokeo ya wao ku collude na corrupt African leaders kwenye Project. Washachora ramani watanufaika zaidi na Guarantor ni waziri.

Hapo kitakachotokea ni waziri kukatiwa 10% ya fedha hizo ili asaini mkataba na hio Gas iibiwe for insane number of years. Tunawajua na hio michezo yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…