Waziri Makamba: Ninatukanwa sana lakini nitalipa kisasi kwa matokeo

Mbona yeye alikuwa anamsema Magufuli na kumfanyia fitina? Utaratibu ni ule ule
 
Sele naona umekuja kujitetea….🤣🤣

How many burner accounts do you have?
Haven't contributing in this place for ages. Nasoma lakini.😂😂.. Discourse imekuwa watered down kidoogo Au?

Account ni hii tu.
 
Acha wivu na roho mbaya, maisha umeyakosea mwenyewe.
 
Kwa kuwa anaendeleza legacy kupitia ujenzi wa bwawa la mwalimu Nyerere, tunaweza kumuelewa kiasi fulani.
 
January ukimpa hiyo wizara hadi 2030, atakuja na hizo ngonjera tu za kila siku kwamba tupeni muda ,michakato inaendela ,mtuamini , ..mtu umekaa karibia 3 years bado unaimba taarabu
 
January ukimpa hiyo wizara hadi 2030, atakuja na hizo ngonjera tu za kila siku kwamba tupeni muda ,michakato inaendela ,mtuamini , ..mtu umekaa karibia 3 years bado unaimba taarabu
 
Haa hilo swala lilifanikiwa kwa kuwa serikali iliyopo ilikuwa serous na mambo yake ,lilipewa msukumo wa kutosha ,na kuhakikisha makamba hana influences yoyote ya kutekeleza hayo ,kama swala la machinga tu wamelishindwa itakuwa hiyo
 
Mbona aliondolewa na Magufuli ?, The Man was not fit for the position. January aliondolewa kushindwa kuondoa mifumo ya plastic. Kama alishindwa mifumo ya plastic hii wizara ya nishati ni Kubwa kwake kuiongoza.
 
January ukimpa hiyo wizara hadi 2030, atakuja na hizo ngonjera tu za kila siku kwamba tupeni muda ,michakato inaendela ,mtuamini , ..mtu umekaa karibia 3 years bado unaimba taarabu
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…