Waziri Makamba: Ninatukanwa sana lakini nitalipa kisasi kwa matokeo

Waziri Makamba: Ninatukanwa sana lakini nitalipa kisasi kwa matokeo

Acha basi kutia watu hasira sio vizuri kuwa mtu wa stara na kujali hisia za wengine. Mtu akionyeshwa kukerwa na kauli au maneno yako basi fanya kama kupunguza ukali wa maneno ili asiumie zaidi. Mbona haya mafunzo yapo wazi kabisa we mdada aiseeee khaaaaaah?!
Najivunia Uislam wangu. Kikichokukera nini hata kuongea hayo? Nioneshe na mimi nifahamu.
Tusipeane nasaha za kinafik.
 
Unataka wamshambulia Waziri wa Afya au Elimu kuhusu kukatika kwa umeme?Hivi mnatumia nini kufikiri?Umeme kukatika katika hovyo bila utaratibu imekuwa ni desturi chini ya wizara yake.
Jiandae kwa suprise tu huko mbele ya safari mtake msitake

Kishasema kisasi kitalipwa kwa matokeo bora zaid ya kazi sio blaaa blaaa
 
Wakati wa Utawala wa Mkapa hakuna kiongozi aliekuwa anachukiwa kama Sumaye....kila lawama Sumaye..
Ufisadi ukatungwa anamiliki shirika la ndege n.k...

Kumbe yote yalikuwa uwongo....mtupu..alibatizwa jina Zero...Kwa chuki tu...

Hatari sana
Kwa
Hiyo hata ile fifty million ya PPF ilikuwa chuki kumbe
Kuwa serious wakati mwingine basi
Uwe na aibu na haya
 
Kwa
Hiyo hata ile fifty million ya PPF ilikuwa chuki kumbe
Kuwa serious wakati mwingine basi
Uwe na aibu na haya
We ulishathibitisha..?ukiitwa mahakamani uthibitisho unao ushahidi?au kila kinachoandikwa mitandaoni ndo ushahidi??
 
Yaani anasubiri kuwajibishwa!!! Maajabu haya, alitakiwa kuwajibika kwa haraka sana.
Mbona Thailand waziri alijiuzulu baada ya jengo kuporomoka na kuua wapitanjia wawili...kwani yeye ndo alijenga? Ni kwasababu yeye ndo msimamizi wa Sera zote za wizara...yaani umeme unakatika Bungeni na Uwanja wa Taifa then anapiga porojo.
 
"Siku moja hapa umeme umekatika Bungeni, kumetokea hitilafu. Ghafla bwana “fukuza Waziri, fukuza TANESCO”. Kumbe kuja kuchunguza waala!.

Umeme umekatika kwenye uwanja wa mpira, “fukuza Waziri, fukuza TANESCO”. Kumbe ni mambo mengine. Jamani, sio wakati wote ni TANESCO, sio wakati wote ni Wizara.

Sisi tutachukua wajibu wetu pale inapotokea” Waziri wa Nishati, January Makamba.

Haya maneno yanatuongezea hamu na hamasa ya kupata matokeo. Sisi hamasa yetu ni imani ya Mheshimiwa Rais kwetu, hamasa yetu ni matokeo ya kazi yetu kwa uhai wa chama chetu.

Hamasa nyingine ni kuwasaidia Watanzania kwa majukumu tuliyopewa. Lakini hamasa ya mwisho ni maneno haya, mtu akikusema wewe hufai maana yake unajitahidi ili uonekane unafaa. Kwa hiyo haya maneno yanatusaidia. Lakini pia haya maneno yanatusaidia kwa sababu yanawaamsha wanaotupenda na wanaotutakia heri ili watuombee dua na sala.”- Waziri January Makamba

“Maneno haya yanatusaidia kwa sababu yanatufundisha ukomavu, yanatufundisha kuwa na subra, yanatufundisha kuwa na uvumilivu na yanatujenga kuwa viongozi bora zaidi. Sisi tumesema waendelee kwa sababu yanatusaidi. Sisi kisasi chetu ni MATOKEO. Hatutabishana, hatutatupa maneno, hatutajitetea, tutalipa kisasi kwa matokeo” Waziri wa Nishati, January Makamba.
Kaongea Point kubwa sana za Utu
Na huu ndio uongozi
Mheshimiwa January ni Bonge la kiongozi
====
Tumpe muda uongozi ni Hekima,
Makamba Anazo

Nyie mafisadi wa sukuma gang mtuache sawa
Mkitaka kutoa mikeka yenu ya ukiwa humu ndani kwanza mkatuonyeshe ile 1.5 Trion ilifichwa wapi!??
 
Kaongea Point kubwa sana za Utu
Na huu ndio uongozi
Mheshimiwa January ni Bonge la kiongozi
====
Tumpe muda uongozi ni Hekima,
Makamba Anazo

Nyie mafisadi wa sukuma gang mtuache sawa
Mkitaka kutoa mikeka yenu ya ukiwa humu ndani kwanza mkatuonyeshe ile 1.5 Trion ilifichwa wapi!??
Sawa
 
Kwenye wizara ya Mazingira alihakikisha hakuna mifuko ya plastiki na kazi nyingi tu za alama. Hapa kwenye nishati the fact kwamba as a minister of wazungu wamekubali kuweka $40B kwenye LNG Lindi, mradi mkubwa katika historia ya nchi.

Haya mradi mkubwa wa solar East Africa unaanza June, haya biggest investment in grid ever inafanyika sasa hivi. Bado vijiji 2000 tu nchi nzima kufikiwa na umeme.

Sooo talk your shit. But its probably hate driven.

😂😂



Soo
Sele naona umekuja kujitetea….🤣🤣

How many burner accounts do you have?
 
Wakati wa Utawala wa Mkapa hakuna kiongozi aliekuwa anachukiwa kama Sumaye....kila lawama Sumaye..
Ufisadi ukatungwa anamiliki shirika la ndege n.k...

Kumbe yote yalikuwa uwongo....mtupu..alibatizwa jina Zero...Kwa chuki tu...

Hatari sana
Umeona ee?!!! Safari hii zamu ya makamba. Ukiwaona kanisani hawa watu huwezi kuamini kama ndo wanaotoa haya maneno. Wanamchukia mno makamba......lkn kiufupi ni kuwa wengi wa wamchukiao ni wale walinsa legacy; waliaminishwa na mtume wao kuwa makamba ni mbaya
 
Back
Top Bottom