CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Haaha.. mama mjanja sana.. kamweka pale ammalize kisiasa jamaa maana hyo wizara ni jumba bovu.. so upinzan ndan ya chama umepunguzwa tayar.. hahhaKijamaa kina ubabaishaji na longolongo nyingi,kazi ya huyo jamaa ni manenomaneno tu sio utendaji,hapo Samia kafeli sana,kama .anampeda angemuweka kwenye wizara ya habari inayohusu mambo ya redio,magazeti na mambo ya mitandao ya mawasiliano,kuliko kwenye wizara nyeti kama hiyo.
Li nchi la ajabu hili.
Kawekwa kwa madhumuni maalumu pale. Hakuna cha kufeli wala kupasi.Kijamaa kina ubabaishaji na longolongo nyingi,kazi ya huyo jamaa ni manenomaneno tu sio utendaji,hapo Samia kafeli sana,kama .anampeda angemuweka kwenye wizara ya habari inayohusu mambo ya redio,magazeti na mambo ya mitandao ya mawasiliano,kuliko kwenye wizara nyeti kama hiyo.
Ebanaee! Me nilidhani kuwa nimeelewa tofauti!Bora hiyo .. juzi tumetoka kuambiwa mafuta yatashuka bei... lakini imekuwa kinyume chake...!!