Waziri Makamba, nusu ya Mwanza iko gizani

Waziri Makamba, nusu ya Mwanza iko gizani

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
SAA 2:02 usiku jiji la Mwanza nusu yaake kama siyo robo tatu liko gizani

Wengi wanasikika sauti kwenye Giza wakimsifia kijana mchapa kazi January makamba kwa kupenda kuifanyia matengenezo mitambo hiyo haswa nyakati za usiku.

Hakika jamaa ni genius sana
 
Kijamaa kina ubabaishaji na longolongo nyingi,kazi ya huyo jamaa ni manenomaneno tu sio utendaji, hapo Samia kafeli sana, kama .anampeda angemuweka kwenye wizara ya habari inayohusu mambo ya redio, magazeti na mambo ya mitandao ya mawasiliano, kuliko kwenye wizara nyeti kama hiyo.
 
Tafuteni hela magogoni pana pangishwa tu pale hii kero uisikie tu kwa jirani
 
Kijamaa kina ubabaishaji na longolongo nyingi,kazi ya huyo jamaa ni manenomaneno tu sio utendaji,hapo Samia kafeli sana,kama .anampeda angemuweka kwenye wizara ya habari inayohusu mambo ya redio,magazeti na mambo ya mitandao ya mawasiliano,kuliko kwenye wizara nyeti kama hiyo.
Haaha.. mama mjanja sana.. kamweka pale ammalize kisiasa jamaa maana hyo wizara ni jumba bovu.. so upinzan ndan ya chama umepunguzwa tayar.. hahha
 
Kijamaa kina ubabaishaji na longolongo nyingi,kazi ya huyo jamaa ni manenomaneno tu sio utendaji,hapo Samia kafeli sana,kama .anampeda angemuweka kwenye wizara ya habari inayohusu mambo ya redio,magazeti na mambo ya mitandao ya mawasiliano,kuliko kwenye wizara nyeti kama hiyo.
Kawekwa kwa madhumuni maalumu pale. Hakuna cha kufeli wala kupasi.
 
Bora hiyo .. juzi tumetoka kuambiwa mafuta yatashuka bei... lakini imekuwa kinyume chake...!!
Ebanaee! Me nilidhani kuwa nimeelewa tofauti!

Nimeshangaa kisha nikastaajabu!

Ipo siku itafikia Watanzania tukishachoshwa sawa sawa na huu uzandiki tutaukataa huu utawala hadharani.

Katabakia kakundi ka wachache wachumia tumbo , ambao kwa umoja wetu hawatatushinda.

Waliokuwa wanasifia kwamba tumpe muda, wakifika kwenye mada za namna hii wanadumaa na kugeuka mabubu!
 
Back
Top Bottom