Salaam, Shalom!!
Hii ni Rai yangu ndugu Makamba, changamkia fursa Ili tupeleke walimu wa kiswahili ambao hivi sasa ni hotcake huko duniani.
Tanzania ndio Nchi pekee yenye watu wengi wenye kuongea kiswahili kimenyooka Afrika nzima. Sasa habari za kupitwa na majirani hazifai.
Ukilifanya hili kiufasaha, utakumbukwa sana, nchi itapata pesa za kigeni na tutapunguza tatizo la ajira,achana na hizi habari za kupiga deal kutaka pesa za mifuko zikiwemo pension za walimu zikajenge magorofa huko balozi za nje!!
Karibuni tumshauri ndugu waziri.
Mungu Ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿