umeongea point ya maana sana kuhusu mwalimu huyo wa kiswahili kujua pia kiingereza kwa ufasaha. huo ni ukweli kabisa, vinginevyo ukipata fursa huko ughaibuni, utalazimika kujifunza kiingereza kwa mwaka mzima, kabla ya kuruhusiwa kufundisha wengine kiswahili🐒
ambacho umenichekesha,
ni ati wakenya wanakula shavu sana kuliko waTanzania, wapi kwanza?🤣
hakuna nchi zaidi ya Tanzania pekee, yenye walimu wengi zaidi wa kiswahili katika mataifa mbalimbali duniani,
chukulia tu mfano mdogo wa Africa kusini, enzi za Hayati Magufuli waliomba zaidi ya walimu mia5 wa kiswahili na walimu wale walienda na wengine wanaendelea kwenda kufundisha huko kwa taratibu mbalimbali...
lakini pia kwenye nchi kama vile Sweden, China, Japan, India na Marekani nyomi ya walimu wa kiswahili kutoka Tanzania ni kubwa mno, ukilinganisha na walimu kutoka kenya ambao ni wachache mno huko ng'ambo 🐒