bongodili tele
JF-Expert Member
- Jun 8, 2024
- 1,520
- 3,022
Wapi si utumwani hata hapa bongo wanateseka tuMABEKI tatu kule uarabuni ni utumwa Ule!!
Labda ulaya!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi si utumwani hata hapa bongo wanateseka tuMABEKI tatu kule uarabuni ni utumwa Ule!!
Labda ulaya!!
Wakenya wamejifinza matusi tu. Kwenye maandamano walikuwa wakitumia kiswahili kutukana, lkn walitumia kiingereza kujenga hoja
Tuongeze VYUO vya kufundisha uyaya, Ile ni profession inayolipa sana ulaya.Wapi si utumwani hata hapa bongo wanateseka tu
Fikra sahihi, huja Kwa lugha sahihi.Wakenya wamejifinza matusi tu. Kwenye maandamano walikuwa wakitumia kiswahili kutukana, lkn walitumia kiingereza kujenga hoja
Hata usome bongo kozi yeyeto ukifika kule unapigwa shule upyaTuongeze VYUO vya kufundisha uyaya, Ile ni profession inayolipa sana ulaya.
Lakini ukipeleka mtu asiye na taaluma yeyote ni utumwa.
Kiswahili kilianzia Kenya?Kenya wamepiga Hatua kwenye kiswahili kuliko sisi 1. Kiswahili kilianzia Kenya
2. Kiswahili Ni lugha ya Taifa la Kenya kikatiba/kisheria tofauti na Tanzania ambapo kiswahili hakitambuliki kikatiba Kama lugha ya Taifa
3. Kenya huchukuliwa Kama dola yanye nguvu
Kufundisha Kiswahili nani akupige shule!!Hata usome bongo kozi yeyeto ukifika kule unapigwa shule upya
Haya ni maneno tu, kama yale ya kwenye kanga. Lugha sahihi kivipi? Hakuna maarifa yoyote yaliyoibuliwa na kubuniwa na mswahili, kisha kutunzwa kwenye vitabu vilivyoandikwa kwa kiswahilliFikra sahihi, huja Kwa lugha sahihi.
Teaching methodology za EuropeKufundisha Kiswahili nani akupige shule!!
Mwalimu ramadhani athumani na Mwl Mpwayungu village wamekusikia!!Walimu andikeni machapisho ili uji-'brand' kimataifa; kutegemea huruma kwenye mambo ya kimataifa ni ngumu.
yaani ukafundishe kiswahili tena ng'ambo bila kua na sifa za kitaalamu na ujuzi wa darasani wa lugha ya kiswahili?Kufundisha Kiswahili nani akupige shule!!
Sawa kabisa.yaani ukafundishe kiswahili tena ng'ambo bila kua na sifa za kitaalamu na ujuzi wa darasani wa lugha ya kiswahili?
kwamba yeyote tu kwa vile anafahamu kuzungumza kiswahili, ila si mjuzi wa lugha ya kiswahili apate fursa hiyo 🤣
watu ambao kwanza ni walimu waliofuzu mafunzo ya kufundisha wengine, lakini pili ni Lazima wawe wabobezo katika lugha ya kiswahili, hao ndio hua kipaumbele zaidi ya wengine 🐒
Salaam, Shalom!!
Hii ni Rai yangu ndugu Makamba, changamkia fursa Ili tupeleke walimu wa kiswahili ambao hivi sasa ni hotcake huko duniani.
Tanzania ndio Nchi pekee yenye watu wengi wenye kuongea kiswahili kimenyooka Afrika nzima. Sasa habari za kupitwa na majirani hazifai.
Ukilifanya hili kiufasaha, utakumbukwa sana, nchi itapata pesa za kigeni na tutapunguza tatizo la ajira,achana na hizi habari za kupiga deal kutaka pesa za mifuko zikajenge magorofa huko balozi za nje!!
Karibuni tumshauri ndugu waziri.
Mungu Ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Kwamba Hana nini🤔Ni sawasawa na kuomba damu mochwari. Mtu ambaye hana sifa wala maarifa hayo, ataanzaje kwa mfano.
Kwenye haya maisha, hakuna mtu atakayekupa kitu ambacho yeye mwenyewe hana. It will never happen. Tuwaze mengine. Kupigana na deal za kijinga
Kwamba Hana nini🤔
nauli ya kwenda wapi na wana makazi yao katika maeneo ya shule?Sawa kabisa.
Hivi nini kinasababisha walimu wasipewe hata posho tu ya nauli?
Creativity IPO,Hizo fursa anazitoa wapi? Hiyo creativity iko wapi?
Naaam, hatujaumbwa hivyo. Na wa mbili havai moja waswahili wanasema
Vitambulisho maalum wakivionyesha hivyo, konda hawaombi nauli sio!!nauli ya kwenda wapi na wana makazi yao katika maeneo ya shule?
walimu wachache ambao wanaishi nje ya maeneo ya shule, wana vitambulisho maalumu vya kutumia wanapotoka majumbani kuelekea mashuleni na kurudi majumbani mwao, lengo ni kuwaleta unrahisi na unafuu katika usafiri..
hata hivyo,
wanayo fursa ya kuanzisha au kufanya kazi nyingine za kujiongezea kipato lakini pia kukopa kwenye taasisi za fedha na kujinunulia usafiri ikiwa utaratibu wa vitambulisho mwalimu fulani hauwezi 🐒