Huyo huyo๐คMakamba huyu huyu au mwingine ?
ni miongni mwa mambo yanayofanyika kwa nguvu na ufanisi mkubwa, kuongeza juhudi zaid za kutafuta fursa zaid ni muhimu zaid ๐Salaam, Shalom!!
Hii ni Rai yangu ndugu Makamba, changamkia fursa Ili tupeleke walimu wa kiswahili ambao hivi sasa ni hotcake huko duniani.
Tanzania ndio Nchi pekee yenye watu wengi wenye kuongea kiswahili kimenyooka Afrika nzima. Sasa habari za kupitwa na majirani hazifai.
Ukilifanya hili kiufasaha, utakumbukwa sana, nchi utapata pesa za kigeni na tutapunguza tatizo la ajira,achana na hizi habari za kupiga deal kutaka pesa za mifuko zikajenge magorofa huko balozi za nje!!
Karibuni tumshauri ndugu waziri.
Mungu Ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA ๐น๐ฟ
Acha kujipendekeza,ni miongni mwa mambo yanayofanyika kwa nguvu na ufanisi mkubwa, kuongeza juhudi zaid za kutafuta fursa zaid ni muhimu zaid ๐
sio mpango wa makamba ni mpango wa serikali,Acha kujipendekeza,
Makamba hakuwa na mpango huo,
Si lazima uingize siasa kwenye Kila kitu!!
Lete data,sio mpango wa makamba ni mpango wa serikali,
hivi sasa kwenye balozi zetu zaid ya 15 nchi mbalimbali duniani zina vituo vya kufundishia kiswahili, lakini pia kupitia vituo hivyo, waTanzania wengi sana wamepata fursa za kufundisha vyuo mbalimbali duniani...
pamoja na mipango mikakati mingine, mpango huu ambao ni fursa ya ajira kwa waTanzania ni endelevu ๐
Nenda kaulize Kenya hapo!!Nani huko duniani anaitaka lugha ya kiswahili? Lugha isiyobeba maarifa na teknolojia ya aina yoyote. Lugha imejaa utajiri wa mipasho, majungu na masimango.
Mbona tumeshindwa kuexport mabeki tatu uarabuni na ulaya fursa tele tupate pesa za kigeniYaani tushindwe kuexport za bidhaa za viwanda,
Hata walimu wa kiswahili watushinde?
MABEKI tatu kule uarabuni ni utumwa Ule!!Mbona tumeshindwa kuexport mabeki tatu uarabuni na ulaya fursa tele
check kwenye kitabu cha hotuba ya bajeti ya wizara ya Mambo ya Nje,Lete data,
Mwaka wa Fedha unaoishia 2023/ 2024,
Walimu wangapi Watanzania wamepata ajira kufundishwa kiswahili huko ngambo?
Pia linganisha na Jirani zetu wasiojua kiswahili wakenya!!
Wakenya wamejifinza matusi tu. Kwenye maandamano walikuwa wakitumia kiswahili kutukana, lkn walitumia kiingereza kujenga hojaNenda kaulize Kenya hapo!!
Salaam, Shalom!!
Hii ni Rai yangu ndugu Makamba, changamkia fursa Ili tupeleke walimu wa kiswahili ambao hivi sasa ni hotcake huko duniani.
Tanzania ndio Nchi pekee yenye watu wengi wenye kuongea kiswahili kimenyooka Afrika nzima. Sasa habari za kupitwa na majirani hazifai.
Ukilifanya hili kiufasaha, utakumbukwa sana, nchi itapata pesa za kigeni na tutapunguza tatizo la ajira,achana na hizi habari za kupiga deal kutaka pesa za mifuko zikajenge magorofa huko balozi za nje!!
Karibuni tumshauri ndugu waziri.
Mungu Ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA ๐น๐ฟ
HUYO ANAWAZA KUPIGA DILI HANA HABARI NA VILAZA WADANGANYIKASalaam, Shalom!!
Hii ni Rai yangu ndugu Makamba, changamkia fursa Ili tupeleke walimu wa kiswahili ambao hivi sasa ni hotcake huko duniani.
Tanzania ndio Nchi pekee yenye watu wengi wenye kuongea kiswahili kimenyooka Afrika nzima. Sasa habari za kupitwa na majirani hazifai.
Ukilifanya hili kiufasaha, utakumbukwa sana, nchi itapata pesa za kigeni na tutapunguza tatizo la ajira,achana na hizi habari za kupiga deal kutaka pesa za mifuko zikajenge magorofa huko balozi za nje!!
Karibuni tumshauri ndugu waziri.
Mungu Ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA ๐น๐ฟ
Wazo zuri.Tatizo Ni uwekezaji , je Tanzania inaweza kufanya Kama Shirika la British kanseli kusambaza kiingereza na utamaduni wa kiingereza? Je inaweza kufanya Kama confiscious institute kusambaza Kichina na utamaduni wa Kichina duniani? Je Tanzania na BAKITA wanaweza kusambaza kiswahili na utamaduni wa mswahili nchi nyingine Kama yanavyofanya hayo mashirika? Hilo Jambo linahitaji uwekezaji kweli kweli. Na Kama tukifanikiwa kufanya hivyo tutanufaika kiuchumi, kumfunisha mtu lugha yako Ni sawa na kumtawala kiakili(lugha na utamaduni)