Mpanda nyangobe
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 762
- 1,688
Point.Huwezi peleka mwalimu kama siyo mahili kwenye lugha ya kingereza... Ndio maana wakenya wanakula shavu kuliko wa tz..ishu ikiwa wapo vizuri ktk lugha zote mbili
ndiyo,Vitambulisho maalum wakivionyesha hivyo, konda hawaombi nauli sio!!
Unadhani Kijiji Cha Mpwayungu Kuna mabasi ya mwendokasi?ndiyo,
ni bure kabisaa au kuna mwalimu analalamika kutozwa nauli?
au anaona soni mwenyewe kutoa kitambulisho? kama anaona soni alipe tu nauli π
Bei ya passport Si kubwa,Hajakosea, na sio Kiswahili tuu, wapatieni vijana passport wakatafute ajira nchi zilizoendelea, kwa sasa Kenya the biggest source of foreign money ni diaspora na inazidi industry zote by far, hata wazungu walituma watu wao Africa kutuibia, is time we do the same kwa style tofauti
umeongea point ya maana sana kuhusu mwalimu huyo wa kiswahili kujua pia kiingereza kwa ufasaha. huo ni ukweli kabisa, vinginevyo ukipata fursa huko ughaibuni, utalazimika kujifunza kiingereza kwa mwaka mzima, kabla ya kuruhusiwa kufundisha wengine kiswahiliπHuwezi peleka mwalimu kama siyo mahili kwenye lugha ya kingereza... Ndio maana wakenya wanakula shavu kuliko wa tz..ishu ikiwa wapo vizuri ktk lugha zote mbili
vijijini walimu wengi huishi kwenye nyumba maalumu za shule au za umma huko huko vijijini. wachache hupangishwa maeneo jirani na shule, mwendo kasi ya nini na ikupeleke wapi mwalimu?πUnadhani Kijiji Cha Mpwayungu Kuna mabasi ya mwendokasi?
Acha uongo,umeongea point ya maana sana kuhusu mwalimu huyo wa kiswahili kujua pia kiingereza kwa ufasaha. huo ni ukweli kabisa, vinginevyo ukipata fursa huko ughaibuni, utalazimika kujifunza kiingereza kwa mwaka mzima, kabla ya kuruhusiwa kufundisha wengine kiswahiliπ
ambacho umenichekesha,
ni ati wakenya wanakula shavu sana kuliko waTanzania, wapi kwanza?π€£
hakuna nchi zaidi ya Tanzania pekee, yenye walimu wengi zaidi wa kiswahili katika mataifa mbalimbali duniani,
chukulia tu mfano mdogo wa Africa kusini, enzi za Hayati Magufuli waliomba zaidi ya walimu mia5 wa kiswahili na walimu wale walienda na wengine wanaendelea kwenda kufundisha huko kwa taratibu mbalimbali...
lakini pia kwenye nchi kama vile Sweden, China, Japan, India na Marekani nyomi ya walimu wa kiswahili kutoka Tanzania ni kubwa mno, ukilinganisha na walimu kutoka kenya ambao ni wachache mno huko ng'ambo π
Ni kweli lakini 90% ya kazi zinazofanywa na watu from third world countries ni day worker na hao ndio wanaotuma pesa nyingi nyumbaniBei ya passport Si kubwa,
Nadhani Maarifa ndiyo yanahitajika.
Kwamba wakienda huko, wataajirika?
nilisha kujibu but naweza kurudia tena kwamba check kitabu cha hotuba ya bajeti ya wizara ya Mambo ya Nje yote hayo utayajua, utayafahamu na utapata uelewa zaidi wa mambo haya ambayo unadhani ni mageniiii π€£Acha uongo,
Lete data, mwaka wa Fedha 2023/2024,
Walimu Watanzania wangapi wameenda huko nje kufundisha Kiswahili?
Acha blaa blaa, weka hizo data hapa!!nilisha kujibu but naweza kurudia tena kwamba check kitabu cha hotuba ya bajeti ya wizara ya Mambo ya Nje yote hayo utayajua, utayafahamu na utapata uelewa zaidi wa mambo haya ambayo unadhani ni mageniiii π€£
kumbe ni mambo ya kawaida ya kila siku tu wizara inashughulika nayo..
nikikumbuka ukurasa mahususi ntashare π
anaedharaulika ni wewe unaedhani umeshauri au kuibua jambo jipyaaa, kumbe ni jambo ambalo linatekelezwa miaka nenda miaka rudi na watu na nchi vinanufaika tayari π€£Acha blaa blaa, weka hizo data hapa!!
Ninyi ndio mnasababisha viongozi wa kisiasa wanadharauliwa na kuonekana kama conman!!
Siasa ni taaluma pekee ambayo ahitaji vigezo vya elimu kushika nafasi za juu, IΕa maamuzi yake ni serious kwenye maisha ya jamii.anaedharaulika ni wewe unaedhani umeshauri au kuibua jambo jipyaaa, kumbe ni jambo ambalo linatekelezwa miaka nenda miaka rudi na watu na nchi vinanufaika tayari π€£
asie na taaluma ya siasa hujitambulisha kirahisi sana kwa mihemko, ghadhabu, hasira na saa zinngine kuporomosha matusi na kutukana....Siasa ni taaluma pekee ambayo ahitaji vigezo vya elimu kushika, IΕa maamuzi yake ni serious kwenye maisha ya jamii.
Ni dharau kwa watu kama nyinyi kuitetea CCM niliyokuwa naijua mimi.
Ushawahi enda china?Nani huko duniani anaitaka lugha ya kiswahili? Lugha isiyobeba maarifa na teknolojia ya aina yoyote. Lugha imejaa utajiri wa mipasho, majungu na masimango.
Creativity IPO,
Huoni amebuni tujenge magorofa kwenye balozi zetu huko duniani?
Nani huko duniani anaitaka lugha ya kiswahili? Lugha isiyobeba maarifa na teknolojia ya aina yoyote. Lugha imejaa utajiri wa mipasho, majungu na masimango.
INASIKITISHA WALLAHSalaam, Shalom!!
Hii ni Rai yangu ndugu Makamba, changamkia fursa Ili tupeleke walimu wa kiswahili ambao hivi sasa ni hotcake huko duniani.
Tanzania ndio Nchi pekee yenye watu wengi wenye kuongea kiswahili kimenyooka Afrika nzima. Sasa habari za kupitwa na majirani hazifai.
Ukilifanya hili kiufasaha, utakumbukwa sana, nchi itapata pesa za kigeni na tutapunguza tatizo la ajira,achana na hizi habari za kupiga deal kutaka pesa za mifuko zikiwemo pension za walimu zikajenge magorofa huko balozi za nje!!
Karibuni tumshauri ndugu waziri.
Mungu Ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA πΉπΏ