Waziri Makamba tafuta fursa huko Duniani, walimu wetu wakafundishe kiswahili tuondokane na Umaskini

Hawana habari wao mambo yao yanawaendea.

Mabalozi karibu wote wameenda ku relax sio kuhangaika
 
Ndio. Kwa wangozi baadaye kilishuka kiliendelea kudambaa katika pwani ya kusini Hadi kuingia upwa wa tanzaniaTanzania
Usiwaamini wakenya,

Kila kizuri ni Chao,

Hata Nyerere ni mkenya kama hujui.
 
Sasa Ule mradi wa kujenga magorofa kwenye balozi zetu sijui itakuwaje tena 🤔
 
Kiswahili ni fursa ya ajira Kwa watz.

Mpango wa kufungua vituo vya kufundisha kiswahili duniani uwe thabiti, Si porojo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…