Mimi Makamba namwamini sana ni mtu smart, subiri mwone matokeo.
What I know about this guy, is just one thing that, the guy is so smart. 😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃You know nothing about this very corrupt person.
Ushahidi tuhuma za January Makamba
Wakuu. mtakumbuka kuwa mwaka 2013 mwishoni, bila huruma, bila kujiuliza mara mbilimbili, mitandaoni kote, vijana kwa wazee walisimama kidete kumshambulia aliyekuwa naibu katibu mkuu wa chadema kipindi hicho ndugu Zitto Kabwe kuwa amehongwa mabilioni na wanaCCM kukihujumu chama chake. jana...www.jamiiforums.com
What I know about this guy, is just one thing that, the guy is so smart. 😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃
😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃Smart for what? He attended schools and universities but he is still uneducated.
Id yako tunaifahamuMimi Makamba namwamini sana ni mtu smart, subiri mwone matokeo.
Sasa kama mnaifahamu kwani kunatatizo😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃Id yako tunaifahamu
MakambaSasa kama mnaifahamu kwani kunatatizo😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃
Kupata kazi EWURA ama TPDC hadi ukahangirwe, kazi zinatangazwa ushahidi washajazana. Bongo D'slamaaaKwako waziri wa nishati,
Hongera kwa kuanza kazi vizuri kwa kuifumua TANESCO.
Tunasubiri uifumue TPDC na EWURA ili mambo yaende vizuri.
😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃Makamba is very smart everyone knows this no doubt.Makamba
Usiwe na wasi wasi boss, ajira yako haiko hatarini hapo ulipo.Ukiamka asubuhi unawaza kufumua bila kujiuliza faida na hasara za ufumuaji na mifumo dhabiti iliyopo na ambayo imewekwa .
😃😃😃😃😃😃😃😃Taasisi ya ufumuaji na uhamishaji wa makampuni na bodi. Tunawapa wiki moja tu mapumziko.Kupata kazi EWURA ama TPDC hadi ukahangirwe, kazi zinatangazwa ushahidi washajazana. Bongo D'slamaaa
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄Usiwe na wasi wasi boss, ajira yako haiko hatarini hapo ulipo.
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Makamba hili linapitia sikio la kulia linatokea sikio la kushotoWaziri angekuwa anahangaika na sera na sheria za usimamizi wa mashirika yote, ndio maana sio vizuri serikali kujihusisha na kuendesha vishirika kama TANESCO na TPDC, private sector iachiwe ifanye kazi yake
Mungu akubariki kwa kumfungua Mh. Rais kwa mawazo mazuri tena ya kizalendo. Mh Rais atayasoma mawazo yako na atayafanyia kazi .What a pity (in West African accent)
Mh. Keshakutana na partners wa uwekezaji wa LNG na kuwapa ahadi ya kuvunja negation team iliyopo na kuunda team mpya; lengo ni kumaliza mazungumzo.
The sad part ukimuuliza Makamba akutajie six main elements za negotiations kwenye mikataba ya mafuta na gas or any other natural resources contract; hawezi kuzitaja miaka 800.
What a pity (in West African accent)
Mh. Keshakutana na partners wa uwekezaji wa LNG na kuwapa ahadi ya kuvunja negation team iliyopo na kuunda team mpya; lengo ni kumaliza mazungumzo.
The sad part ukimuuliza Makamba akutajie six main elements za negotiations kwenye mikataba ya mafuta na gas or any other natural resources contract; hawezi kuzitaja miaka 800.
Kasheshe inakuja sasa kama hujui hata elements za negotions, hizo technical issues je?
Unabadili negotiation team on what justification?.
They might as well select mleta mada as the next TPDC managing director ana mpango wa kubadili gas (ethanol) into petroleum according to her previous thread its a cheap process na ana michoro yake.
Tatizo ni kwamba kwa maelezo yake Ali yo-yos not sure ata kama anaelewa the refining process and byproducts of crude iliyochanganyika na maji mtiririko wake upo vipi hadi upate ethanol.
Mawazo ya kijinga unayosoma JF na likes watu wanazopata is beyond me.
We dada embu tuambue ‘API gravity’ ina umuhimu gani kwenye refining process ya mafuta based on prices na different oil products.
Nyie watu mnahitaji diaspora ujinga wa mawazo na upuuzi wa maamuzi ya viongozi wetu it’s beyond me.
Ndio ukweli na lazima tuambizane.
Yaani umuache mtu kama January akuamulie negotiation team ya ‘Oil and Gas’ wakati yeye mwenyewe nina uhakika ni clueless lazima itakuwa serikali iliyojaza wendawazimu.
Sio kila kitu cha kuchekea watu; huo uwezo January hana, wala basic ya ‘Oil and Gas’ negotiations hana. Ni mtu anaefuata ujinga anao andika Zitto.
Upuuzi ni usalama wa taifa kumuachia huyu mtu aendelee kufanya maamuzi ambayo ni risk for long term national interest.
Yaani kabisa January aunde timu ya kujadili mkataba wa mafuta wakati yeye mwenyewe hajui elements za majadiliano; TISS mkiliacha hilo mtakuwa mmewakosea sana watanzania wa kesho.
Naomba tuanzie hapa kabla sijakujibu maswali yako mengine.What a pity (in West African accent)

Kwako waziri wa nishati,