BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
You know nothing about this very corrupt person.
www.jamiiforums.com
Ushahidi tuhuma za January Makamba
Wakuu. mtakumbuka kuwa mwaka 2013 mwishoni, bila huruma, bila kujiuliza mara mbilimbili, mitandaoni kote, vijana kwa wazee walisimama kidete kumshambulia aliyekuwa naibu katibu mkuu wa chadema kipindi hicho ndugu Zitto Kabwe kuwa amehongwa mabilioni na wanaCCM kukihujumu chama chake. jana...
Mimi Makamba namwamini sana ni mtu smart, subiri mwone matokeo.