Waziri Makamba ujue siyo kila kitu ni cha kubinafisisha

ukiona hivyo ujue yuko nyuma ya pazia.kishatengeneza kikampuni ya kuwanyonya watz.kijana bado mdogo lkn fikra zake ni za hovyo kabisa utadhani si mtanzania.kwa kuwa yy hana uchungu na nchi hii na kwa kuwa ktk maisha hajala joto la jiwe ndo maana hata akili yake inawaza mambo ya ajabu ajabu na sijui hiyo nafasi alipewa kwa kigezo gani.
Kwa kigezo cha Honoraria kwa familia ya Marope
 
Hii speed ya 4G ya Makamba kutaka Tanesco ibinafisishwe inasukumwa na nini? Hivi kwa akili hii vipi huyu Makamba angeshinda urais mwaka 2015?
Majibu yapo kwenye ile katuni ya yule jamaa anayesota rumande
 
Waziri wa Nishati January Makamba ajulishwe kuwa kwenye taifa siyo kila kitu ni cha kubinafisishwa kwa masilahi mapana ya taifa.
Umeme
Bandari
Reli
Viwanja vya ndege
Mbuga etc
Baba wa taifa mwl Nyerere kwenye hotuba yake moja mwaka 1995 alikemea vikali akili ya kuchukua mali ya uma na kuwakabidhi watu wachache, mfano umeme ndiyo injini ya uchumi wa nchi kwa kuvutia kujengwa kwa viwanda vingi na kuzalisha bidhaa za bei ndogo zitakazoshindana kwenye soko, kamwe hatuwezi kuwapa watu wachache watufanyie biashara kwa kutuuzia umeme alafu tukategemea bidhaa zetu zishindane kwenye soko la Dunia.

Enzi za Kikwete Tanesco nusura ibinafisishwe baada ya kuwa na madeni makubwa ya kulipia capacity charges kutoka kwenye generator za kampuni la symbion.

Alipoingia Magufuli akafuta baadhi ya mikataba ya hovyo na kuliwezesha shirika kukusanya zaidi ya trillion 2 kwa mwaka hivyo likaacha kujiendesha kwa kutegemea ruzuku ya serikali na kufuta mpango wa kulibinafisisha shirika hili la uma.

Ameingia rais Samia na alipomteua waziri January Makamba tayari ameingia na mentality ileile ya enzi za Kikwete.

1.Pamoja na kwamba Tanesco ya leo hawaagizi nguzo nje ya nchi kama walivyokuwaga wanafanya huko nyuma lakini bado Makamba anataka shirika libinafisishwe.

2.Pamoja na kwamba Tanesco ya leo wanakusanya zaidi ya trillion mbili kwa mwaka lakini bado waziri Makamba anataka shirika libinafisishwe!

3.Pamoja na kwamba kupitia REA Tanesco imetapakaa nchi nzima lakini bado waziri anataka shirika libinafisishwe.

4.Pamoja na kwamba sasa hivi Tanzania inajenga bwawa kubwa kabisa la kufua umeme lakini bado waziri anataka Tanesco ibinafisishwe.

Hii speed ya 4G ya Makamba kutaka Tanesco ibinafisishwe inasukumwa na nini? Hivi kwa akili hii vipi huyu Makamba angeshinda urais mwaka 2015?
😂😂😂😂 Magufuli alifuta mikataba au mikataba iliisha muda wake? Unaweza fita au vunja mkataba?
 
Tanesco tupeni mita za luku wakazi wa dar, tumemaliza ujenzi na tumeshalipia hiyo 27,000 karibia wiki tatu sasa danadana haziishi.
 
Sio kwa nchi Kama hii. Tulibinafsisha reli na shirika la ndege, uliona tulifika wapi?
Hata baada ya kukoma kubinafsisha tumefika wapi? Ni hasara kwa kwenda mbele..

Tena Rais atakayefuata baada ya sgr kukamilika atajuta na gharama za kuendesha hilo bomu la TRC ,ATCL itakuwa cha mtoto.
 
Waziri wa Nishati January Makamba ajulishwe kuwa kwenye taifa siyo kila kitu ni cha kubinafisishwa kwa masilahi mapana ya taifa.
Umeme
Bandari
Reli
Viwanja vya ndege
Mbuga etc
Baba wa taifa mwl Nyerere kwenye hotuba yake moja mwaka 1995 alikemea vikali akili ya kuchukua mali ya uma na kuwakabidhi watu wachache, mfano umeme ndiyo injini ya uchumi wa nchi kwa kuvutia kujengwa kwa viwanda vingi na kuzalisha bidhaa za bei ndogo zitakazoshindana kwenye soko, kamwe hatuwezi kuwapa watu wachache watufanyie biashara kwa kutuuzia umeme alafu tukategemea bidhaa zetu zishindane kwenye soko la Dunia.

Enzi za Kikwete Tanesco nusura ibinafisishwe baada ya kuwa na madeni makubwa ya kulipia capacity charges kutoka kwenye generator za kampuni la symbion.

Alipoingia Magufuli akafuta baadhi ya mikataba ya hovyo na kuliwezesha shirika kukusanya zaidi ya trillion 2 kwa mwaka hivyo likaacha kujiendesha kwa kutegemea ruzuku ya serikali na kufuta mpango wa kulibinafisisha shirika hili la uma.

Ameingia rais Samia na alipomteua waziri January Makamba tayari ameingia na mentality ileile ya enzi za Kikwete.

1.Pamoja na kwamba Tanesco ya leo hawaagizi nguzo nje ya nchi kama walivyokuwaga wanafanya huko nyuma lakini bado Makamba anataka shirika libinafisishwe.

2.Pamoja na kwamba Tanesco ya leo wanakusanya zaidi ya trillion mbili kwa mwaka lakini bado waziri Makamba anataka shirika libinafisishwe!

3.Pamoja na kwamba kupitia REA Tanesco imetapakaa nchi nzima lakini bado waziri anataka shirika libinafisishwe.

4.Pamoja na kwamba sasa hivi Tanzania inajenga bwawa kubwa kabisa la kufua umeme lakini bado waziri anataka Tanesco ibinafisishwe.

Hii speed ya 4G ya Makamba kutaka Tanesco ibinafisishwe inasukumwa na nini? Hivi kwa akili hii vipi huyu Makamba angeshinda urais mwaka 2015?
Miaka yote TANESCO wanahujumu juhudi za Taifa kwenye mbio za kiuchumi. Ifike mahala tuachane na uoga pia tuache mazoea.

Tanesco ibinafsishwe ilete tija.

Hizi kelele zenu ni kwa kutetea matumbo yenu na siyo kupambania mabadiliko ya kiuchumi
 
Kama kubinafsisha ni vibaya basi waruhusu watu binafsi wazalishe na kuuza umeme kama ilivyo kwa upande wa simu

Binafsi naona wazi serikali inatupotezea muda kuendelea kuhodhi biashara hiyo peke yake kwa asilimia 100 huku ufanisi ni sifuri

Niseme tu hakuna umeme wa kueleweka Tanzania karibu miaka 20 Sasa ni shida tupu

Serikali iwe bize kukusanya kodi na kusimamia ulinzi kazi zingine zote iachie sekta binafsi
 
Umeme, ndege, reli, shule, hospitali waachie sekta binafsi, wao serikali wakusanye kodi na wawe bize na ulinzi siyo kufanya biashara

Hakuna shirika nisilolipenda kwa utendaji wao wa hovyo kama Tanesco na mara nyingi huunganishiwi umeme mpaka utoe rushwa wakati mita na nguzo vyote ni mali ya Serikali
 
Miaka yote TANESCO wanahujumu juhudi za Taifa kwenye mbio za kiuchumi. Ifike mahala tuachane na uoga pia tuache mazoea.

Tanesco ibinafsishwe ilete tija.

Hizi kelele zenu ni kwa kutetea matumbo yenu na siyo kupambania mabadiliko ya kiuchumi
Watanzania ni watu wa ajabu sana

Hivi hapo wapo wanapiga majungu ili Makamba atimuliwe
 
Wapi alipotangaza anataka TANESCO ibinafsishwe? Au chuki zako tu.
Hata na mimi nimewaza hivyo, mbona sijasikia kwenye vyombo vya habari kuhusu ubinafsishaji wa TANEsCO?

Aidha, shirika hili lilitaka kubinafsishwa enzi za Mkapa kama sikosei, kwa wale jamaa wa South Africa.
 
Halafu bado mpo bize na manguzo na miwaya huko angani badala ya kuchimba chini mpitishe umeme kama ilivyo maji
 
Yaani TANESCO siwapendi kiasi ambacho siwezi kueleza ukanielewa

Wamejaa ukilitimba na rushwa ndiyo kitu wanachowaza na siyo kutoa huduma kwa wananchi
 
Waziri wa Nishati January Makamba ajulishwe kuwa kwenye taifa siyo kila kitu ni cha kubinafisishwa kwa masilahi mapana ya taifa.
Umeme
Bandari
Reli
Viwanja vya ndege
Mbuga etc
Baba wa taifa mwl Nyerere kwenye hotuba yake moja mwaka 1995 alikemea vikali akili ya kuchukua mali ya uma na kuwakabidhi watu wachache, mfano umeme ndiyo injini ya uchumi wa nchi kwa kuvutia kujengwa kwa viwanda vingi na kuzalisha bidhaa za bei ndogo zitakazoshindana kwenye soko, kamwe hatuwezi kuwapa watu wachache watufanyie biashara kwa kutuuzia umeme alafu tukategemea bidhaa zetu zishindane kwenye soko la Dunia.

Enzi za Kikwete Tanesco nusura ibinafisishwe baada ya kuwa na madeni makubwa ya kulipia capacity charges kutoka kwenye generator za kampuni la symbion.

Alipoingia Magufuli akafuta baadhi ya mikataba ya hovyo na kuliwezesha shirika kukusanya zaidi ya trillion 2 kwa mwaka hivyo likaacha kujiendesha kwa kutegemea ruzuku ya serikali na kufuta mpango wa kulibinafisisha shirika hili la uma.

Ameingia rais Samia na alipomteua waziri January Makamba tayari ameingia na mentality ileile ya enzi za Kikwete.

1.Pamoja na kwamba Tanesco ya leo hawaagizi nguzo nje ya nchi kama walivyokuwaga wanafanya huko nyuma lakini bado Makamba anataka shirika libinafisishwe.

2.Pamoja na kwamba Tanesco ya leo wanakusanya zaidi ya trillion mbili kwa mwaka lakini bado waziri Makamba anataka shirika libinafisishwe!

3.Pamoja na kwamba kupitia REA Tanesco imetapakaa nchi nzima lakini bado waziri anataka shirika libinafisishwe.

4.Pamoja na kwamba sasa hivi Tanzania inajenga bwawa kubwa kabisa la kufua umeme lakini bado waziri anataka Tanesco ibinafisishwe.

Hii speed ya 4G ya Makamba kutaka Tanesco ibinafisishwe inasukumwa na nini? Hivi kwa akili hii vipi huyu Makamba angeshinda urais mwaka 2015?
Mwache abinafsishe kila kitu, mwisho wa siku wataibinafsisha lumumba na itakua nafuu kwetu
 
Napinga kwa nguvu zote kwa Jina la Yesu Kristo, Tanesco kubinafsishwa, hii idea ife mara moja na Mungu wetu mkuu amuangamize na kumteketeza atakaye leta au kutaka kubinafsisha tanesco yetu. Tanesco ni Taa yetu. Naamini, CCM yangu iko makini sana haitaruhusu hii kutokea, Mh. Ndugai alitoa maono yake mazuri sana kwa January siku ya kuapishwa kwake.

Mungu tuokoe
 
Ulaya baadhi ya nchi hadi barabara zinajengwa, kumilikiwa na kuendelezwa na kampuni binafsi

Sasa hapa kila biashara serikali na yenyewe inataka ifanye
 
Back
Top Bottom