Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
mambo ya utu wa mwanadamu hayafanyiki kisiasa na mazingira unayoyasema sio salama, huwezi kuingia kichwa kichwa maeneo hayo ukasababisha madhara mengine....Miili ya Watanzania walioripotiwa kufa Israel ilipatikana?
Na tetesi za wanajeshi wetu 3 kufariki congo ni za Kweli?
Tanzania na nchi nyingine duniani zinaendelea kutoa wito kwa pande zinazohasimiani huko mashariki ya kati na hata huko DRC ambapo Jeshi letu lipo linawajibika katika kuleta amani mashariki mwa DRC....
hata hivyo Dr.Tulia Ackson Mwansasu speaker wetu lakini pia Rais wa shirikisho la mabunge duniani alikuako huko mashariki ya kati, na zote hizo ni jitihada za wizara hii muhimu sana katika kutafuta suluhu na Utulivu palipo na vita na mafarakano 🐒
licha ya jitihada za kila siku kushughulika na mambo hayo, bado subra na ustahimilivu kwa waTanzania, ni muhimu sana ili kwa wakati muafaka mbivu na mbichi juu ya masuala uliyoyaibua kuwekwa bayana 🐒
Eid Mubarak 🌹