joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Huyu si bungeni aliombwa report ya maintenance miaka mitano iliyopita, jiulize kwa nini mpaka sasa hajaitoa?Na ndicho kaongea hata kama inauma,Miaka 6 iliyopita licha ya uchumi kushuka lakini Tanesco haiku repair mitambo ikawa busy na Bwawa la Nyerere matokeo yake uchumi ulivyofunguka demand ya umeme imeongezeka na mitambo imezidiwa.
Hamtaki kuona umeme kukatika
Mnataka 24/7 umeme uwepo
Ova
Waruhusu tuone sio kutulisha matango pori kila siku, kuna kipindi TZ ilikuwa inakunywa bia kutoka Kenya wakati TBL ilipokuwa na monopoly ya uzalishaji bia,kilipouzwa bia zikaanza kumininika na kushuka bei na beer za Kenya zikapoteaKama ukipata muda nenda TANESCO waulize gharama walizo tumia wao Hadi kufika umeme kwako ukiachana na kiasi ulicho changia wewe. Jibu utakalo lipata ndio utajua kwanini hawapewi hao private sector kama mitandao yasimu.
Mnaona bora kuendelea kuwa gizani kwa sababu tuu mnataka serikali peke yake ifanye hii biashara, akili za maharage mabovu hiziUmenena vyema
Kwa mtu anayejua maswala ya technical huwezi kusema "zamani umeme ulikiwa haukatiki sababu walikuwa HAWAFANYI SCHEDULE MAINTENANCE........",ukiongea kauli hii kwa watu wa technical wanaweza wakakukimbiza.Una uhakika upi kama unacho kitetea pia sio ujinga?
Tatizo wonyonge hamutaki taaluma ifanye kazi munataka siasa kwenye mambo ya Technical.
Umeme ni huduma mzee kutaka ku commercial ujue uta acha watu wengi Gizani aisee hio Connection fee ya 27k au 320k kwa mjini jua serikali ina cover gap tu vinginevyo zikiwekwa bei halisi basi umeme utakuwa anasa hakuna privates ataweza kufanya hio biashara mzeeTatizo serikali inalazimisha kufanya hii biashara peke yake (monopoly), serikali imejaa mafisadi tuu, hawana pesa wala utaalam wa kuhudumia watu zaidi ya milion 60, waruhusu tuu private sector wazalishe na wasambaze moja kwa moja kwa wananchi, kazi yao iwe policy tuu na kuhakikisha fair game kati ya wawekezaji na wananchi, tunajidanganya kufikiri Makamba atatuletea umeme Tanzania, tuachane na sheria zinazotufanya maskini na watumwa
Kwa akili kama hizi ndio maana mnakaa gizani, hope na viongozi wetu hawana akili kama hii, na sijui unaishi wapi lakini nataka nikuambie umeme sio huduma na si bure, ni biashara kubwa sana duniani ya mabilioni na sector zote zinategemea umemeUmeme ni huduma mzee kutaka ku commercial ujue uta acha watu wengi Gizani aisee hio Connection fee ya 27k au 320k kwa mjini jua serikali ina cover gap tu vinginevyo zikiwekwa bei halisi basi umeme utakuwa anasa hakuna privates ataweza kufanya hio biashara mzee
Sukuma gang ndio mnahangaika na legacyLegacy umeshindwa kuifunika hata kidole tu,
Anyway mtetee mwenzio ana mission tofauti kabisa.Shida sio timu shida ni pesa,tueleze wewe ukweli basi.
Tukuteue Ili uondoe uzembe?
Umeme sio shida mzee shida ela ata kwa akili ya kawaida angalia nchi ambayo haina shida ya kukatika umeme gharama waliowekeza kwenye nishati hiyo ndo utajua tz Bado tukoo nyumaa miaka Mia mbili.Umeme umekuwa anasa kwenye nchi yenye mito, jua, upepo, gesi, makaa ya mawe!
smh.
duh utakuwa na changamoto ya kuchanganua mambo miaka 6 bila repair??, vitu vingi vimefanyika mfano mradi wa kusafirisha umeme mkubwa (gridi ya taifa) kutoka Makambako - Songea, Lindi - Mtwara, Iringa mpaka Shinyanga ilijengwa na ilikamilishwa ndani ya utawala huu wa 5 hii yote utasema sio maboresho??Tumia akili sio hisia za nyege,umeambiwa miaka 6 hakuna repair ilifanyika,umeambiwa uchumi wa ulikuwa umeanguka miaka ya Mwendazake hivyo mahitaji ya umeme yalikuwa chini na mwisho umeambiwa uchumi umeongezeka zaidi kwa hivyo loading imeongezeka na suluhisho ni kufanya repair na estimates zimewekwa.
Boss,Magu ndio kipimo? Alimpiga pembeni kwa sababu alitaka aweke ndugu yake wa kusema uongo na kuiba nothing else.
Kwani Vijijini kuingiza umeme Kwa 27,000 kumeisha? Wewe ndio una bibi peke yako? 😁😁.
Ukweli mchungu ni kwamba mwendazake hakufanya repair ndiovyo Tanesco wamesema.
Hakuna umeme msituletee story tumechoka, mnamsingizia Magu alikuwa hafanyi repair lakini cha ajabu umeme ulikuwa haukatiki na maelfu ya vijiji yaliunganishwa chini yake huku nyie mnaenda kuwalipa matapeli wa kihindi mabilioni eti kuboresha ufanisiBoss,
Uchumi umeongezeka maana yake matumizi ya umeme yame ongezeka, kama wateja wame ongezeka maana yake mitambo yetu inatakiwa iongezewe capacity kukidhi ongezeko la watumiaji, kama kweli ni hivyo basi Tanesco wana takiwa ku upgrade mitambo Yao ya awali Kwa kuiongezea uwezo zaidi na kupanua njia za usafirishaji, hii ni kuangalia tufanye nini katika mitambo yetu ya sasa kuongeza uzalishaji sio ku repair , repair haiongezi uzalishaji wa umeme na haina uhusiano na uchumi.
Pili kama mitambo haiwezi kuwa upgraded na Kuna capacity limitations kifuatacho ni kufanya nini expansion, expanding uzalishaji wa umeme Kwa kujenga vituo vipya vikubwa au vidogo kwa haraka Kwa matumizi ya sasa na miaka ijayo kadri ya ongezeko la mahitaji,sasa new build takes time, inahitaji pesa lakini ni solutions ya kudumu zaidi kuliko njia zingine, ndio maana Kuna ujenzi wa kinyerezi 1,2,3,4 na kuendelea, ndio maana Kuna stieglers, Kuna solar energy, makaa ya mawe na etc.
Repair ni aibu hata kusema kuwa wakirepair uzalishaji utaongezeka, ni aibu kubwa Kwa Tanesco na waziri kutoa taarifa ambayo hawajui maana yake nini, chukua mfano, una daladala yenye abiria 10, lakini unapofika kituoni una kuta Kuna abiria 20, hivyo una beba abilia wako 10 na wengine kuwaacha, so ukitaka kuwabeba abiria wote utapeleka gari lako likafanyiwe repair ? Jibu ni no, Bali utafanya yafuatayo;
1. Expansions Kwa kuongeza seat ya abiria kama gari lina nafasi, kama halina una weza hata fumua bodi ukaongeza ili upate nafasi.
2. Baada ya kuongeza nafasi, fumua bodi,je engine uwezo wake utafaa? Kama engine capacity ni kidogo una upgrade.
3. Suluhisho la kudumu ni kununua daladala ya pili iweze kubeba hao abiria wengine (new build).
Matengenezo hayaongezi uzalishaji na kukidhi mahitaji ya umeme hapo Tanesco wana paka ragi upepo, hakuna jitihada wanazifanya zaidi ya kutokili kuwa wamefail na wana mshauri vibaya waziri, makamba sio mtalaamu wa umeme na hajui anacho ongea, yeye anatakiwa awabane Tanesco waache kutoa sababu za uongo Bali wajikite kutafuta njia mbadala na kuondokana na tatizo hilo,waache kukaa ofsini wakisubiri tatizo , Tanesco nadhani utendaji ni mbovu watu wanafanya kazi Kwa mazoea.
Huyu jamaa yenu uchawa unamsumbua anaongea blah blah zisizo na uhalisiaduh utakuwa na changamoto ya kuchanganua mambo miaka 6 bila repair??, vitu vingi vimefanyika mfano mradi wa kusafirisha umeme mkubwa (gridi ya taifa) kutoka Makambako - Songea, Lindi - Mtwara, Iringa mpaka Shinyanga ilijengwa na ilikamilishwa ndani ya utawala huu wa 5 hii yote utasema sio maboresho??
au ulitaka wapiga dili wawashe mitambo ya mchongo ya kutumia mafuta mazito ya Symbion, Aggreko na IPTL ambayo ilikuwa inaigharimu Tanesco bilioni 719 kwa mwaka mpaka shirika kushindwa kujiendesha? Maamuzi yaliyofanywa na Serikali ya awamu ya 5 yalikuwa ya kijasiri sana watu walikuwa wanatengeneza tatizo la umeme na kupiga pesa tu kwa kuiuzia Tanesco umeme wa mchongo,
kuhusu uzalishaji kushuka inabidi nishangae Vimefunguliwa viwanda vikubwa 201, na viwanda vya kati 450 halafu useme uzalishaji umeshuka?? ongea kwa takwimu na sio propaganda
Ndicho kinafanyika kwani Waziri kasemaje? Maelezo unayoyasema ndio hayo hayo Makamba kasema wanafanya,shida ni kwamba timeline ndio hajaweka kwa sababu ni swala la pesa mingi.Boss,
Uchumi umeongezeka maana yake matumizi ya umeme yame ongezeka, kama wateja wame ongezeka maana yake mitambo yetu inatakiwa iongezewe capacity kukidhi ongezeko la watumiaji, kama kweli ni hivyo basi Tanesco wana takiwa ku upgrade mitambo Yao ya awali Kwa kuiongezea uwezo zaidi na kupanua njia za usafirishaji, hii ni kuangalia tufanye nini katika mitambo yetu ya sasa kuongeza uzalishaji sio ku repair , repair haiongezi uzalishaji wa umeme na haina uhusiano na uchumi.
Pili kama mitambo haiwezi kuwa upgraded na Kuna capacity limitations kifuatacho ni kufanya nini expansion, expanding uzalishaji wa umeme Kwa kujenga vituo vipya vikubwa au vidogo kwa haraka Kwa matumizi ya sasa na miaka ijayo kadri ya ongezeko la mahitaji,sasa new build takes time, inahitaji pesa lakini ni solutions ya kudumu zaidi kuliko njia zingine, ndio maana Kuna ujenzi wa kinyerezi 1,2,3,4 na kuendelea, ndio maana Kuna stieglers, Kuna solar energy, makaa ya mawe na etc.
Repair ni aibu hata kusema kuwa wakirepair uzalishaji utaongezeka, ni aibu kubwa Kwa Tanesco na waziri kutoa taarifa ambayo hawajui maana yake nini, chukua mfano, una daladala yenye abiria 10, lakini unapofika kituoni una kuta Kuna abiria 20, hivyo una beba abilia wako 10 na wengine kuwaacha, so ukitaka kuwabeba abiria wote utapeleka gari lako likafanyiwe repair ? Jibu ni no, Bali utafanya yafuatayo;
1. Expansions Kwa kuongeza seat ya abiria kama gari lina nafasi, kama halina una weza hata fumua bodi ukaongeza ili upate nafasi.
2. Baada ya kuongeza nafasi, fumua bodi,je engine uwezo wake utafaa? Kama engine capacity ni kidogo una upgrade.
3. Suluhisho la kudumu ni kununua daladala ya pili iweze kubeba hao abiria wengine (new build).
Matengenezo hayaongezi uzalishaji na kukidhi mahitaji ya umeme hapo Tanesco wana paka ragi upepo, hakuna jitihada wanazifanya zaidi ya kutokili kuwa wamefail na wana mshauri vibaya waziri, makamba sio mtalaamu wa umeme na hajui anacho ongea, yeye anatakiwa awabane Tanesco waache kutoa sababu za uongo Bali wajikite kutafuta njia mbadala na kuondokana na tatizo hilo,waache kukaa ofsini wakisubiri tatizo , Tanesco nadhani utendaji ni mbovu watu wanafanya kazi Kwa mazoea.
Huo mradi wa makambako Songea ni repair au ni mradi mpya?duh utakuwa na changamoto ya kuchanganua mambo miaka 6 bila repair??, vitu vingi vimefanyika mfano mradi wa kusafirisha umeme mkubwa (gridi ya taifa) kutoka Makambako - Songea, Lindi - Mtwara, Iringa mpaka Shinyanga ilijengwa na ilikamilishwa ndani ya utawala huu wa 5 hii yote utasema sio maboresho??
au ulitaka wapiga dili wawashe mitambo ya mchongo ya kutumia mafuta mazito ya Symbion, Aggreko na IPTL ambayo ilikuwa inaigharimu Tanesco bilioni 719 kwa mwaka mpaka shirika kushindwa kujiendesha? Maamuzi yaliyofanywa na Serikali ya awamu ya 5 yalikuwa ya kijasiri sana watu walikuwa wanatengeneza tatizo la umeme na kupiga pesa tu kwa kuiuzia Tanesco umeme wa mchongo,
kuhusu uzalishaji kushuka inabidi nishangae Vimefunguliwa viwanda vikubwa 201, na viwanda vya kati 450 halafu useme uzalishaji umeshuka?? ongea kwa takwimu na sio propaganda
Mtambo gani utafanya kazi miaka 6 bila maintenance ukaendelea kufanya kazi?Amesema kwa miaka sita hayakufanyika. Simtetei but if ni kweli basi mitambo iliyopo lazima iwe overloaded