Waziri Makamba: Umeme utaendelea kukatika mpaka tumalize maboresho. TPSF wamshukia kama mwewe

Na ndicho kaongea hata kama inauma,Miaka 6 iliyopita licha ya uchumi kushuka lakini Tanesco haiku repair mitambo ikawa busy na Bwawa la Nyerere matokeo yake uchumi ulivyofunguka demand ya umeme imeongezeka na mitambo imezidiwa.
Huyu si bungeni aliombwa report ya maintenance miaka mitano iliyopita, jiulize kwa nini mpaka sasa hajaitoa?

Na ww unakubali kabisa mitambo ifanye kazi miaka 6 ,24/7 bila maintenance ,hako kajenereta kadogo husipo kifanyia services ndani ya mwaka unakaua,wengine mnapenda kudanganywa.
 
Hamtaki kuona umeme kukatika
Mnataka 24/7 umeme uwepo

Ova
Screenshot_20220327-205036_Gallery.jpg
 
Kama ukipata muda nenda TANESCO waulize gharama walizo tumia wao Hadi kufika umeme kwako ukiachana na kiasi ulicho changia wewe. Jibu utakalo lipata ndio utajua kwanini hawapewi hao private sector kama mitandao yasimu.
Waruhusu tuone sio kutulisha matango pori kila siku, kuna kipindi TZ ilikuwa inakunywa bia kutoka Kenya wakati TBL ilipokuwa na monopoly ya uzalishaji bia,kilipouzwa bia zikaanza kumininika na kushuka bei na beer za Kenya zikapotea
 
Una uhakika upi kama unacho kitetea pia sio ujinga?
Tatizo wonyonge hamutaki taaluma ifanye kazi munataka siasa kwenye mambo ya Technical.
Kwa mtu anayejua maswala ya technical huwezi kusema "zamani umeme ulikiwa haukatiki sababu walikuwa HAWAFANYI SCHEDULE MAINTENANCE........",ukiongea kauli hii kwa watu wa technical wanaweza wakakukimbiza.

Hamna mitambo inayoweza kuvumilia kuoperate miaka zaidi ya sita 24/7 bila maintenance haipo, kajenereta kadogo husikifanyie maintenance ndani ya mwaka uone kama hujakaua.
 
Tatizo serikali inalazimisha kufanya hii biashara peke yake (monopoly), serikali imejaa mafisadi tuu, hawana pesa wala utaalam wa kuhudumia watu zaidi ya milion 60, waruhusu tuu private sector wazalishe na wasambaze moja kwa moja kwa wananchi, kazi yao iwe policy tuu na kuhakikisha fair game kati ya wawekezaji na wananchi, tunajidanganya kufikiri Makamba atatuletea umeme Tanzania, tuachane na sheria zinazotufanya maskini na watumwa
Umeme ni huduma mzee kutaka ku commercial ujue uta acha watu wengi Gizani aisee hio Connection fee ya 27k au 320k kwa mjini jua serikali ina cover gap tu vinginevyo zikiwekwa bei halisi basi umeme utakuwa anasa hakuna privates ataweza kufanya hio biashara mzee
 
Kwa akili kama hizi ndio maana mnakaa gizani, hope na viongozi wetu hawana akili kama hii, na sijui unaishi wapi lakini nataka nikuambie umeme sio huduma na si bure, ni biashara kubwa sana duniani ya mabilioni na sector zote zinategemea umeme

Kwa hiyo makampuni mengi ya umeme yamefanikiwa kwa sababu wanauza kitu ambacho wateja wapo tayari, kama serikali inataka kusaidia inaweza kuwalipia maskini au kuwaondolea tozo msururu inazochukua kwenye umeme
 
Umeme umekuwa anasa kwenye nchi yenye mito, jua, upepo, gesi, makaa ya mawe!
smh.
 
Umeme sio shida mzee shida ela ata kwa akili ya kawaida angalia nchi ambayo haina shida ya kukatika umeme gharama waliowekeza kwenye nishati hiyo ndo utajua tz Bado tukoo nyumaa miaka Mia mbili.

Kipindi Cha jpm umeme ulikuwa unakatika ila nani atasema pia uzalishaji ulipungia unajua kilichofata akawaacha watu was kipato Cha chini wabadilishane walichonacho wa s feel kinachoendelea nakwambia km Bado angekuepo adi Leo sjui ela angeitoa wapi
 
Tumia akili sio hisia za nyege,umeambiwa miaka 6 hakuna repair ilifanyika,umeambiwa uchumi wa ulikuwa umeanguka miaka ya Mwendazake hivyo mahitaji ya umeme yalikuwa chini na mwisho umeambiwa uchumi umeongezeka zaidi kwa hivyo loading imeongezeka na suluhisho ni kufanya repair na estimates zimewekwa.
duh utakuwa na changamoto ya kuchanganua mambo miaka 6 bila repair??, vitu vingi vimefanyika mfano mradi wa kusafirisha umeme mkubwa (gridi ya taifa) kutoka Makambako - Songea, Lindi - Mtwara, Iringa mpaka Shinyanga ilijengwa na ilikamilishwa ndani ya utawala huu wa 5 hii yote utasema sio maboresho??

au ulitaka wapiga dili wawashe mitambo ya mchongo ya kutumia mafuta mazito ya Symbion, Aggreko na IPTL ambayo ilikuwa inaigharimu Tanesco bilioni 719 kwa mwaka mpaka shirika kushindwa kujiendesha?

Maamuzi yaliyofanywa na Serikali ya awamu ya 5 yalikuwa ya kijasiri sana watu walikuwa wanatengeneza tatizo la umeme na kupiga pesa tu kwa kuiuzia Tanesco umeme wa mchongo,

kuhusu uzalishaji kushuka inabidi nishangae Vimefunguliwa viwanda vikubwa 201, na viwanda vya kati 450 halafu useme uzalishaji umeshuka?? ongea kwa takwimu na sio propaganda
 
Magu ndio kipimo? Alimpiga pembeni kwa sababu alitaka aweke ndugu yake wa kusema uongo na kuiba nothing else.

Kwani Vijijini kuingiza umeme Kwa 27,000 kumeisha? Wewe ndio una bibi peke yako? 😁😁.

Ukweli mchungu ni kwamba mwendazake hakufanya repair ndiovyo Tanesco wamesema.
Boss,
Uchumi umeongezeka maana yake matumizi ya umeme yame ongezeka, kama wateja wame ongezeka maana yake mitambo yetu inatakiwa iongezewe capacity kukidhi ongezeko la watumiaji, kama kweli ni hivyo basi Tanesco wana takiwa ku upgrade mitambo Yao ya awali Kwa kuiongezea uwezo zaidi na kupanua njia za usafirishaji, hii ni kuangalia tufanye nini katika mitambo yetu ya sasa kuongeza uzalishaji sio ku repair , repair haiongezi uzalishaji wa umeme na haina uhusiano na uchumi.

Pili kama mitambo haiwezi kuwa upgraded na Kuna capacity limitations kifuatacho ni kufanya nini expansion, expanding uzalishaji wa umeme Kwa kujenga vituo vipya vikubwa au vidogo kwa haraka Kwa matumizi ya sasa na miaka ijayo kadri ya ongezeko la mahitaji,sasa new build takes time, inahitaji pesa lakini ni solutions ya kudumu zaidi kuliko njia zingine, ndio maana Kuna ujenzi wa kinyerezi 1,2,3,4 na kuendelea, ndio maana Kuna stieglers, Kuna solar energy, makaa ya mawe na etc.

Repair ni aibu hata kusema kuwa wakirepair uzalishaji utaongezeka, ni aibu kubwa Kwa Tanesco na waziri kutoa taarifa ambayo hawajui maana yake nini, chukua mfano, una daladala yenye abiria 10, lakini unapofika kituoni una kuta Kuna abiria 20, hivyo una beba abilia wako 10 na wengine kuwaacha, so ukitaka kuwabeba abiria wote utapeleka gari lako likafanyiwe repair ? Jibu ni no, Bali utafanya yafuatayo;

1. Expansions Kwa kuongeza seat ya abiria kama gari lina nafasi, kama halina una weza hata fumua bodi ukaongeza ili upate nafasi.
2. Baada ya kuongeza nafasi, fumua bodi,je engine uwezo wake utafaa? Kama engine capacity ni kidogo una upgrade.

3. Suluhisho la kudumu ni kununua daladala ya pili iweze kubeba hao abiria wengine (new build).

Matengenezo hayaongezi uzalishaji na kukidhi mahitaji ya umeme hapo Tanesco wana paka ragi upepo, hakuna jitihada wanazifanya zaidi ya kutokili kuwa wamefail na wana mshauri vibaya waziri, makamba sio mtalaamu wa umeme na hajui anacho ongea, yeye anatakiwa awabane Tanesco waache kutoa sababu za uongo Bali wajikite kutafuta njia mbadala na kuondokana na tatizo hilo,waache kukaa ofsini wakisubiri tatizo ,

Tanesco nadhani utendaji ni mbovu watu wanafanya kazi Kwa mazoea.
 
Boss,
Uchumi umeongezeka maana yake matumizi ya umeme yame ongezeka, kama wateja wame ongezeka maana yake mitambo yetu inatakiwa iongezewe capacity kukidhi ongezeko la watumiaji, kama kweli ni hivyo basi Tanesco wana takiwa ku upgrade mitambo Yao ya awali Kwa kuiongezea uwezo zaidi na kupanua njia za usafirishaji, hii ni kuangalia tufanye nini katika mitambo yetu ya sasa kuongeza uzalishaji sio ku repair , repair haiongezi uzalishaji wa umeme na haina uhusiano na uchumi.

Pili kama mitambo haiwezi kuwa upgraded na Kuna capacity limitations kifuatacho ni kufanya nini expansion, expanding uzalishaji wa umeme Kwa kujenga vituo vipya vikubwa au vidogo kwa haraka Kwa matumizi ya sasa na miaka ijayo kadri ya ongezeko la mahitaji,sasa new build takes time, inahitaji pesa lakini ni solutions ya kudumu zaidi kuliko njia zingine, ndio maana Kuna ujenzi wa kinyerezi 1,2,3,4 na kuendelea, ndio maana Kuna stieglers, Kuna solar energy, makaa ya mawe na etc.

Repair ni aibu hata kusema kuwa wakirepair uzalishaji utaongezeka, ni aibu kubwa Kwa Tanesco na waziri kutoa taarifa ambayo hawajui maana yake nini, chukua mfano, una daladala yenye abiria 10, lakini unapofika kituoni una kuta Kuna abiria 20, hivyo una beba abilia wako 10 na wengine kuwaacha, so ukitaka kuwabeba abiria wote utapeleka gari lako likafanyiwe repair ? Jibu ni no, Bali utafanya yafuatayo;
1. Expansions Kwa kuongeza seat ya abiria kama gari lina nafasi, kama halina una weza hata fumua bodi ukaongeza ili upate nafasi.
2. Baada ya kuongeza nafasi, fumua bodi,je engine uwezo wake utafaa? Kama engine capacity ni kidogo una upgrade.

3. Suluhisho la kudumu ni kununua daladala ya pili iweze kubeba hao abiria wengine (new build).

Matengenezo hayaongezi uzalishaji na kukidhi mahitaji ya umeme hapo Tanesco wana paka ragi upepo, hakuna jitihada wanazifanya zaidi ya kutokili kuwa wamefail na wana mshauri vibaya waziri, makamba sio mtalaamu wa umeme na hajui anacho ongea, yeye anatakiwa awabane Tanesco waache kutoa sababu za uongo Bali wajikite kutafuta njia mbadala na kuondokana na tatizo hilo,waache kukaa ofsini wakisubiri tatizo , Tanesco nadhani utendaji ni mbovu watu wanafanya kazi Kwa mazoea.
Hakuna umeme msituletee story tumechoka, mnamsingizia Magu alikuwa hafanyi repair lakini cha ajabu umeme ulikuwa haukatiki na maelfu ya vijiji yaliunganishwa chini yake huku nyie mnaenda kuwalipa matapeli wa kihindi mabilioni eti kuboresha ufanisi

( sijui ndio ushuzi gani huo),na nyie mnaofanya repair mbona umeme hakuna, sipendi siasa za JPM lakini alikuwa anajua kusukuma kazi na TZ ingeendelea tuu maana alikuwa hana michezo ya kifala kwenye kazi
 
Makamba ni moja ya msomi ambaye elimu yake hailisaidii taifa.

He has weak points kuhusu umeme kukatika so alipokuwa anajirusha na helikopta akisema kina cha maji kimepungua sasa mvua zimenyesha amepata chaka LA kujificha kuwa tatizo ni LA kisayansi.

Makamba which science are you talking about that you think we don't know.

Tunataka umeme sio blah blah.....
 
duh utakuwa na changamoto ya kuchanganua mambo miaka 6 bila repair??, vitu vingi vimefanyika mfano mradi wa kusafirisha umeme mkubwa (gridi ya taifa) kutoka Makambako - Songea, Lindi - Mtwara, Iringa mpaka Shinyanga ilijengwa na ilikamilishwa ndani ya utawala huu wa 5 hii yote utasema sio maboresho??

au ulitaka wapiga dili wawashe mitambo ya mchongo ya kutumia mafuta mazito ya Symbion, Aggreko na IPTL ambayo ilikuwa inaigharimu Tanesco bilioni 719 kwa mwaka mpaka shirika kushindwa kujiendesha? Maamuzi yaliyofanywa na Serikali ya awamu ya 5 yalikuwa ya kijasiri sana watu walikuwa wanatengeneza tatizo la umeme na kupiga pesa tu kwa kuiuzia Tanesco umeme wa mchongo,

kuhusu uzalishaji kushuka inabidi nishangae Vimefunguliwa viwanda vikubwa 201, na viwanda vya kati 450 halafu useme uzalishaji umeshuka?? ongea kwa takwimu na sio propaganda
Huyu jamaa yenu uchawa unamsumbua anaongea blah blah zisizo na uhalisia
 
Makamba excuses since his appointment on shortage of electricity suppply and TANESCO sluggishness on connection to customers electricity.

Maji yamekauka (on shortage of supply)

Overdue Maintance (on shortage of supply)

Unscheduled maintance (on schortage of supply).

Poor infrastructure (on shortage of supply)

Unwillingness to invest on alternative (on shortage of supply)

Uchumi umekuwa (peak demand) on shortage of supply.

And so forth with his nonsense; sitaki kuzungumzia sababu zake za kuchelewsha kuwaunganishia watu umeme; it’s another list of excuses.

Mpaka sasa ambae ajapata somo awezi elimishwa tatizo sio Makamba; bali mama na serikali yake watupishe.

Kudra za mwenyezi mungu mwisho 2025 mama Samia ni kipimo chetu watanzania cha kuvumilia ujinga the woman has to go.
 
Boss,
Uchumi umeongezeka maana yake matumizi ya umeme yame ongezeka, kama wateja wame ongezeka maana yake mitambo yetu inatakiwa iongezewe capacity kukidhi ongezeko la watumiaji, kama kweli ni hivyo basi Tanesco wana takiwa ku upgrade mitambo Yao ya awali Kwa kuiongezea uwezo zaidi na kupanua njia za usafirishaji, hii ni kuangalia tufanye nini katika mitambo yetu ya sasa kuongeza uzalishaji sio ku repair , repair haiongezi uzalishaji wa umeme na haina uhusiano na uchumi.

Pili kama mitambo haiwezi kuwa upgraded na Kuna capacity limitations kifuatacho ni kufanya nini expansion, expanding uzalishaji wa umeme Kwa kujenga vituo vipya vikubwa au vidogo kwa haraka Kwa matumizi ya sasa na miaka ijayo kadri ya ongezeko la mahitaji,sasa new build takes time, inahitaji pesa lakini ni solutions ya kudumu zaidi kuliko njia zingine, ndio maana Kuna ujenzi wa kinyerezi 1,2,3,4 na kuendelea, ndio maana Kuna stieglers, Kuna solar energy, makaa ya mawe na etc.

Repair ni aibu hata kusema kuwa wakirepair uzalishaji utaongezeka, ni aibu kubwa Kwa Tanesco na waziri kutoa taarifa ambayo hawajui maana yake nini, chukua mfano, una daladala yenye abiria 10, lakini unapofika kituoni una kuta Kuna abiria 20, hivyo una beba abilia wako 10 na wengine kuwaacha, so ukitaka kuwabeba abiria wote utapeleka gari lako likafanyiwe repair ? Jibu ni no, Bali utafanya yafuatayo;
1. Expansions Kwa kuongeza seat ya abiria kama gari lina nafasi, kama halina una weza hata fumua bodi ukaongeza ili upate nafasi.
2. Baada ya kuongeza nafasi, fumua bodi,je engine uwezo wake utafaa? Kama engine capacity ni kidogo una upgrade.

3. Suluhisho la kudumu ni kununua daladala ya pili iweze kubeba hao abiria wengine (new build).

Matengenezo hayaongezi uzalishaji na kukidhi mahitaji ya umeme hapo Tanesco wana paka ragi upepo, hakuna jitihada wanazifanya zaidi ya kutokili kuwa wamefail na wana mshauri vibaya waziri, makamba sio mtalaamu wa umeme na hajui anacho ongea, yeye anatakiwa awabane Tanesco waache kutoa sababu za uongo Bali wajikite kutafuta njia mbadala na kuondokana na tatizo hilo,waache kukaa ofsini wakisubiri tatizo , Tanesco nadhani utendaji ni mbovu watu wanafanya kazi Kwa mazoea.
Ndicho kinafanyika kwani Waziri kasemaje? Maelezo unayoyasema ndio hayo hayo Makamba kasema wanafanya,shida ni kwamba timeline ndio hajaweka kwa sababu ni swala la pesa mingi.

Screenshot_20220327-111738.png

Screenshot_20220327-111813.png

Screenshot_20220327-111848.png

Screenshot_20220327-112029.png
 
duh utakuwa na changamoto ya kuchanganua mambo miaka 6 bila repair??, vitu vingi vimefanyika mfano mradi wa kusafirisha umeme mkubwa (gridi ya taifa) kutoka Makambako - Songea, Lindi - Mtwara, Iringa mpaka Shinyanga ilijengwa na ilikamilishwa ndani ya utawala huu wa 5 hii yote utasema sio maboresho??

au ulitaka wapiga dili wawashe mitambo ya mchongo ya kutumia mafuta mazito ya Symbion, Aggreko na IPTL ambayo ilikuwa inaigharimu Tanesco bilioni 719 kwa mwaka mpaka shirika kushindwa kujiendesha? Maamuzi yaliyofanywa na Serikali ya awamu ya 5 yalikuwa ya kijasiri sana watu walikuwa wanatengeneza tatizo la umeme na kupiga pesa tu kwa kuiuzia Tanesco umeme wa mchongo,

kuhusu uzalishaji kushuka inabidi nishangae Vimefunguliwa viwanda vikubwa 201, na viwanda vya kati 450 halafu useme uzalishaji umeshuka?? ongea kwa takwimu na sio propaganda
Huo mradi wa makambako Songea ni repair au ni mradi mpya?

Unaelewa maana ya repair?
 
Back
Top Bottom