Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
Hapo vip!
Kwa kawaida hata katika maisha ya kawaida hauwezi kunyooshewa kidole wewe kila siku eti usiwe na kosa.
Mangungu kwa taarifa za ndani ndio chanzo cha Club ya Simba kufanya vibaya.
1. kwanza anatumika na Yanga kutoa siri za ndani zinazopangwa na club, pia kuharibu mipango mizuri ya club.
2. Wanasema Mangungu ni Yanga damu damu hivyo anatumika kuwaloga wachezaji wasimba ili waonekane hawafai na anawaroga sana wale wachezaji ambao hajapiga dili kuwaingiza ndani ya club.
Kwa malalamiko na tuhuma ya washabiki wa Simba dhidi ya mangungu ya miaka na miaka.
Tunakuomba muheshimiwa Paul Makondo utuendolee huyo mtu pale kwasababu amekuwa chanzo cha kulalamikiwa kila mara.
Kingine alikuwa anatakiwa ifanyika uchaguzi tar.27.01.206 kwa sababu kwa mujibu wa katiba muda wake umeisha ila anatumia ujanja kukwepa hilo kwasababu anajua yupo pale kwa maslahi binafsi na kwa maadui wa Simba.