KERO Waziri Makonda, tusaidie wana Simba kumuondoa Mangungu. Muda wake kikatiba imeshaisha

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
3,078
Reaction score
5,882
Hapo vip!

Kwa kawaida hata katika maisha ya kawaida hauwezi kunyooshewa kidole wewe kila siku eti usiwe na kosa.
Mangungu kwa taarifa za ndani ndio chanzo cha Club ya Simba kufanya vibaya.

1. kwanza anatumika na Yanga kutoa siri za ndani zinazopangwa na club, pia kuharibu mipango mizuri ya club.

2. Wanasema Mangungu ni Yanga damu damu hivyo anatumika kuwaloga wachezaji wasimba ili waonekane hawafai na anawaroga sana wale wachezaji ambao hajapiga dili kuwaingiza ndani ya club.

Kwa malalamiko na tuhuma ya washabiki wa Simba dhidi ya mangungu ya miaka na miaka.

Tunakuomba muheshimiwa Paul Makondo utuendolee huyo mtu pale kwasababu amekuwa chanzo cha kulalamikiwa kila mara.

Kingine alikuwa anatakiwa ifanyika uchaguzi tar.27.01.206 kwa sababu kwa mujibu wa katiba muda wake umeisha ila anatumia ujanja kukwepa hilo kwasababu anajua yupo pale kwa maslahi binafsi na kwa maadui wa Simba.
 
Toka lini Bashite akamiliki akili
Amechelewa pia kulichukulia maamuzi hili swala..Kiongozi anayetaka soka la nchi hii kukua ,watu kama hawa wakina mangungu wanaolalamikiwa na mamilioni ya watu yapaswa awatimue mara moja
 
Mangungu anamda gani Simba? Je, kipindi chake Simba haijawai fanya vizur? kama ndio basi aondolewe kama sio basi mchawi sio yeye.
 
Makonda CCM, Mangungu CCM jini haliwezi kutoa jini
 
Hapo vip!

Kwa kawaida hata katika maisha ya kawaida hauwezi kunyooshewa kidole wewe kila siku eti usiwe na kosa.
Mangungu kwa taarifa za ndani ndio chanzo cha Club ya Simba kufanya vibaya.

1. kwanza anatumika na Yanga kutoa siri za ndani zinazopangwa na club, pia kuharibu mipango mizuri ya club.

2. Wanasema Mangungu ni Yanga damu damu hivyo anatumika kuwaloga wachezaji wasimba ili waonekane hawafai na anawaroga sana wale wachezaji ambao hajapiga dili kuwaingiza ndani ya club.

Kwa malalamiko na tuhuma ya washabiki wa Simba dhidi ya mangungu ya miaka na miaka.

Tunakuomba muheshimiwa Paul Makondo utuendolee huyo mtu pale kwasababu amekuwa chanzo cha kulalamikiwa kila mara.

Kingine alikuwa anatakiwa ifanyika uchaguzi tar.27.01.206 kwa sababu kwa mujibu wa katiba muda wake umeisha ila anatumia ujanja kukwepa hilo kwasababu anajua yupo pale kwa maslahi binafsi na kwa maadui wa Simba.
Acha upotoshaji kenge wewe!

Ndio maana mnaItwa MBUMBUMBU

Bw. Murtaza Mangungu alichaguliwa tena kuwa Mwenyekiti wa Simba Sports Club (Simba SC) kwenye Uchaguzi Mkuu wa Wanachama uliofanyika Januari 29-30, 2023 jijini Dar es Salaam. Katika uchaguzi huo aliibuka na kura nyingi zaidi dhidi ya mpinzani wake na kupigiwa kura na wanachama, na baada ya ushindi akaendelea kushika wadhifa wa mwenyekiti kwa kipindi cha miaka minne kutoka 2023 hadi 2027.

Kwa mujibu wa taarifa za uchaguzi huo, bodi iliyochaguliwa pia ilipewa dhamana ya kutekeleza mpango wa uongozi wa klabu kwa kipindi hicho.
● Kuchaguliwa: Januari 29-30, 2023.
● Kipindi cha uongozi kilichopo: miaka 4 (2023–2027).

Kwa kawaida kama ilivyo kwenye Katiba ya klabu na utaratibu wa Simba SC, uchaguzi mkuu wa viongozi wa klabu ikijumuisha mwenyekiti na wajumbe wa bodi hufanyika kila baada ya miaka minne kutokana na mzunguko wa uteuzi uliowekwa kwenye uchaguzi wa 2023. Hii ina maana kuwa uchaguzi mwingine wa viongozi wa Simba SC unatarajiwa kufanyika mwaka 2027, isipokuwa mabadiliko ya uteuzi yatakavyobadilishwa na wanachama au Katiba ya klabu kabla ya hapo.
 
Mo anadai Club 80 billions.

We uliyeandika hapa ni Mangungu na nikweli muda wako umeisha tokea tar.27.01.2026 ,na hata ukijitetea kwa kutumia katiba unatakiwa uwondoke kwa maslahi mapana ya soka la Tanzania kwasababu umekuwa kero na nimtuhumiwa namba moja kwa mujibu wa sisi mashabiki wa Simba.

Ungekuwa na akili ungejiengua mapema..usituletee tabia zako za kiswahili hapa.

Ungekuwa ulaya kwa wazungu ungesha pigwa chuma siku nyingi sana..wale hawanaga muda wa kupoteza na watu kama nyie.
 
Hapa nabishana na kichaa.
 
Hapo vip!

Kwa kawaida hata katika maisha ya kawaida hauwezi kunyooshewa kidole wewe kila siku eti usiwe na kosa.
Mangungu kwa taarifa za ndani ndio chanzo cha Club ya Simba kufanya vibaya.

1. kwanza anatumika na Yanga kutoa siri za ndani zinazopangwa na club, pia kuharibu mipango mizuri ya club.

2. Wanasema Mangungu ni Yanga damu damu hivyo anatumika kuwaloga wachezaji wasimba ili waonekane hawafai na anawaroga sana wale wachezaji ambao hajapiga dili kuwaingiza ndani ya club.

Kwa malalamiko na tuhuma ya washabiki wa Simba dhidi ya mangungu ya miaka na miaka.

Tunakuomba muheshimiwa Paul Makondo utuendolee huyo mtu pale kwasababu amekuwa chanzo cha kulalamikiwa kila mara.

Kingine alikuwa anatakiwa ifanyika uchaguzi tar.27.01.206 kwa sababu kwa mujibu wa katiba muda wake umeisha ila anatumia ujanja kukwepa hilo kwasababu anajua yupo pale kwa maslahi binafsi na kwa maadui wa Simba.
Watanzania wajinga sana . Hasa Hawa ambayo vyeti vyao vya form four vina picha hao.
Wewe unajua katiba inasemaje ya fifa inasemaje juu ya kusingizia siasa kwenye mpira?
 
Back
Top Bottom