Waziri Masauni ameonya watu au vikundi vya watu ambavyo vinatumia uhuru wa kutoa maoni kutoa kauli za uchochezi

Waziri Masauni ameonya watu au vikundi vya watu ambavyo vinatumia uhuru wa kutoa maoni kutoa kauli za uchochezi

Ni nchi ya amani kuliko Kenya kuliko Nji zingine kuliko Somalia kuliko Nigeria kuliko South Africa kuliko USA. Yaani unakaa kwa amani unalala kwa amani unaenda kokote kule kwa amani. Huko kwingine hukuti hayo.

Umeelewa?
Hujielewi wewe.
 
Huyu mpumbavu anatuchezea aende zake huko Zanzibar Kwa wajinga wenzie
 
Back
Top Bottom