Waziri Masauni arudi kwa familia ya Hayati Ali Kibao kuipa pole

Wamezungukwa na vivuli vya wenzao
 
Ni takrima ya kupoza mambo
 
Lengo ni kuonekana wapo karibu na familia kujisafisha, wanaitumia familia ya marehemu kujisafisha.

Jana ilishindikana watu walikuwa na hasira leo wamerudi.

Hapo familia ingekataa mgeni yeyote kutika serikalini, unafiki tu.
 
Miaka ya 2000 mwanzoni, baba yangu mzazi alikuwa akilinda kanisani kazi aliyoifanya zaidi ya. miaka 40 na akiwa ameshaomba kustaafu, watu walimvizia usiku wakamuulia pale Madhabahuni.

Tulikataa kesi, tukamwachia Mungu.

Wauaji wote walikufa mmoja mmoja tena wakijieleza makosa yao.

Nashauri hata hao wa mpendwa wetu wamkabidhi Mungu.

Poleni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…