Hapo ndipo mzee Mwinyi aka mzee ruksa atabaki kuwa Shuja katika viongozi wa nchi hii. RIP Mzee.wetu 🙏Masauni kama kweli ameguswa na huo msiba anatakiwa kuachia ngazi, full stop.
Tusidanganyane kwa namna nyingine yoyote, ameshindwa kutekeleza majukumu yake, kulinda uhai wetu, huyu bado anafanya nini ofisini mpaka sasa?
Au ndio jukumu lake jipya limekuwa kutoa pole kwenye misiba inayotokea kwa kushindwa kwake kutimiza majukumu yake?
Hii serikali imejaa wajinga wasiojua majukumu yao, hawajui wanatupeleka wapi, kwao ilimradi pakuche tu.