Waziri Masauni arudi kwa familia ya Hayati Ali Kibao kuipa pole

Sahihi kbs mkuu..wanapuyanga tu
 
Fala sana huyu jamaa...yaani nimekosa hata tusi la la maana la kumpa!
 
Manipulative behaviours, kuiridhisha hiyo familia sio kuifuata fuata muda wote, ni kwenda kufanyia kazi jinai, majibu ya uchunguzi yatoke, haki itendeke, familia ipate closure.

Weledi wa kitanzania ni wakipumbavu sana. Tunathamini mno misiba kinafiki nafiki wakati kulikuwa na preventive measures za kufanya tukio lisilete madhara.

Simu moja tu Mzee kibao (RIP) angerudishwa kwake akiwa hai. Na hiyo simu moja itumike kuwaachia walioko kizuizini ambao bado hawajauawa warudi kwenye familia zao, sio mnasubiri miili iokotwe muanze kugharamikia misiba sijui serikali imetoa rambirambi ya million 5, nonsense.
 
Damu hii na ya wengine zitawasumbua sana sana.

Hata warudi kwa familia hii mara 100 hakuna mercy watakayoipata.

Wajiondoe madarakani
 
Hiyo picha inaongea, nyuso na macho ya wafiwa hayana tumaini na kuamini anachojaribu kuwaaminisha. Mwenyezi Mungu, awape faraja yake katika kipindi hiki kigumu wanachopitia.
 
Naona albadir imeanza kufanya kazi anarudi rudi sn siyo kawaida yake

 
POLENI SANA SANA FAMILIA YA MAREHEMU ALI KIBAO.
 
UVCCM ni wazee wa comedy, sasa hawa ndiyo wapewe nchibl yetu waiongoze baadaye - let us be serious.

Muhuni huwa haachi tabia yake hata akiwa mzee anabaki muhuni tu.
 
CCM hupenda kutanguliza pesa mbele, wanainunua roho yako kwa shs 5 milioni! Huyo Masauni ametumia zaidi ya hizo kifikisha hizo shs 5 milioni, Masauni ndiye aliyefaidika na kifo hicho.
 
Bila shaka serikali haijahusika maana Kwa unyama huo Kwa maumivu hayo unapata wapi ujasiri wa kupokea rambirambi?
Wawe watulivu kipindi hiki. Je baada ya hapo ndo baba yao atarudi. Uhalifu wote wa kidola huwa hautoi majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…