Waziri Masauni arudi kwa familia ya Hayati Ali Kibao kuipa pole

Hapo ndipo mzee Mwinyi aka mzee ruksa atabaki kuwa Shuja katika viongozi wa nchi hii. RIP Mzee.wetu 🙏
 
Wanau MTU kisha wanawapoza na Milioni 5. Utu w mtu.
All the best
 
Binafsi siwezi kupokea pesa yoyote, ni udhaifu mkubwa sana.
Yaani mzazi wangu auawe katika hali kama hiyo.
Nikifikiria kuanzia gari zilizotumika, aina ya bunduki za kivita ambazo raia hawaruhusiwi kuzimiliki halafu waniletee hela! Hapana,si bure hivyo siwezi kuuza uhai wa mzazi wangu kwa milioni 5 na simpi ushirikiano wowote.
 
Sijawahi kuona mtu ambaye siyo ndugu,siyo rafiki wala siyo jirani watu wanakupigia kelele kuashiria hawakutaki hapo msibani lakini unakuwa king'ang'anizi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…