Kyenyabasa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2023
- 247
- 715
Afadhali, anafanya vyema huyu Waziri.Askari wa Wizara yako walie mpaka lini!? Unafrahia kuongoza Askari wanyonge!! Hizi posho za maji na Umeme serikali inazitoa zinaishia kuliwa na wajanja Wizarani pengine ukiwepo wewe( tetesi zipo) watumishi wote wizarani wanalipwa posho hizi! Iweje Askari waambiwe wanunue umeme na maji alafu wawasilishe risiti kwa ajili ya malipo ambayo huyadai mpaka miaka 3 ndo yanalipwa!? Kuna giza sana Wizarani kuhusu posho hizi,mmenufaika vya kutosha sasa inatosha acheni kuwafanya Askari wajinga,,,lipa posho zao haraka kupitia Misha ha ra yao.
Askari kila wakitaka kuongea rais wanapigwa nyun do!
Kumbe na nyie mnaminywaga poleni sana, na hongera kwa kupaza sauti.Askari wa Wizara yako walie mpaka lini!? Unafrahia kuongoza Askari wanyonge!
Hizi posho za maji na Umeme serikali inazitoa zinaishia kuliwa na wajanja Wizarani pengine ukiwepo wewe (tetesi zipo) watumishi wote wizarani wanalipwa posho hizi!
Iweje Askari waambiwe wanunue umeme na maji alafu wawasilishe risiti kwa ajili ya malipo ambayo huyadai mpaka miaka 3 ndo yanalipwa!? Kuna giza sana Wizarani kuhusu posho hizi, mmenufaika vya kutosha sasa inatosha acheni kuwafanya Askari wajinga, lipa posho zao haraka kupitia Mishahara yao.
Askari kila wakitaka kuongea Rais wanapigwa nyundo!
Wana minywa hasira wana zirudisha kwa raia ,,wana maisha magumu sana hawaKumbe na nyie mnaminywaga poleni sana, na hongera kwa kupaza sauti.
Kati ya watu wanaokwamisha ukombozi ni hawa majamaa, wanastahili kutohurumiwaKihistoria humu jf, Hakuna afande aliwai leta malalamiko yake akahurumiwa[emoji4]
kazi ya polisi inajumuisha watu wa hovyo sana. yaani watu wanapigana bar anayetangulia kwenda polisi ndiyo mwenye haki.Askari wa Wizara yako walie mpaka lini!? Unafrahia kuongoza Askari wanyonge!