Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Kwa haya yaliyotokea na yanayoendelea kutokea. Ni ukweli kwamba imani yetu wananchi kwa jeshi la polisi imeshapotea.
Tumepoteza imani na Rais pia. Sababu za kupoteza imani ni kutochukua hatua thabiti dhidi ya vilio vyetu kuhusu utekaji, upotezaji na uuaji wa wananchi wa Tanzania.
Kwa kuwa taratibu za kumuwajibisha Rais siyo rahisi, lakini hawa wasaidizi wake ambao ni Waziri wa Mambo ya ndani na IGP tunaweza kupaza sauti wawajibike. Wawajibike kwa kujiuzulu.
Wajiuzulu