Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kushupalia mambo na dhana za kizamani ambazo hazina maana yoyote ni ushirikina huo...Mtu ambaye hujui kuishi bila uchawa ni laana kwa umma
Hata Mabosi wao wakijiuzuru, bado vitendo viovu vya utekaji, utesaji na Mauaji ya kiholela vitaendelea kutokea..Bosi wao awajibike basi
gentleman,Inavyoonekana wa-Tanzania wengi sana bado hawajui kiini hasa Cha matatizo mengi ya Kiutawala yaliyopo kwenye nchi hii, bado hawajui sababu za kuwepo kwa matatizo hayo.
Hata Mabosi wao wakijiuzuru, bado vitendo viovu vya utekaji, utesaji na Mauaji ya kiholela vitaendelea kutokea..gentleman,
sasa wewe unayejua si uwaeleze kinagaubaga sasa?
sasa japo kwa mfano,
unawafokea, unawabeza au unawaandaa kisaikolojia ili baadae uwaeleze ndio uwaeleze kinagaubaga 🐒
Wewe unaejua kiini waambieInavyoonekana wa-Tanzania wengi sana bado hawajui kiini hasa Cha matatizo mengi ya Kiutawala yaliyopo kwenye nchi hii, bado hawajui sababu za kuwepo kwa matatizo hayo.
Mimi nimekuelewa Masauni akijiuzulu bado Kamishina Awadh yupo pale wakfanya fyoko anaenda kuwashushia mkong'oto na Jamaa wanamuogopa sasa hivi kweli Awadh kibokoHata Mabosi wao wakijiuzuru, bado vitendo viovu vya utekaji, utesaji na Mauaji ya kiholela vitaendelea kutokea..
Ukitaka kuua mti suluhisho sahihi ni kuchimbua mizizi yake yote kabisa, lakini siyo kukata matawi yake tu kwani ukikata matawi yake lazima baadaye mti huo utakuja kuchipua Tena na kustawi
Kiini Cha majanga yote haya ni kwamba Katiba ya nchi ambayo ipo pamoja na Sheria zingine za nchi zilizopo zinawaruhusu na zinawapa Mamlaka hao Walalamikiwa KUUA WATU KWA UHOLELA na bila ya hao Wauaji kuweza kuwajibishwa Wala kuchukuliwa hatua zozote zile za kisheria, kama vile kushitakiwa kwa Kesi za Mauaji au kwa Kesi ya Ugaidi au Uhaini.Wewe unaejua kiini waambie
Ungetutajia na Vifungu vinavyowapa mamlaka ya kuuaKiini Cha majanga yote haya ni kwamba Katiba ya nchi ambayo ipo pamoja na Sheria zingine za nchi zilizopo zinawaruhusu na zinawapa Mamlaka hao Walalamikiwa KUUA WATU KWA UHOLELA na bila ya hao Wauaji kuweza kuwajibishwa Wala kuchukuliwa hatua zozote zile za kisheria, kama vile kushitakiwa kwa Kesi za Mauaji au kwa Kesi ya Ugaidi au Uhaini.
Kwa hiyo mchawi wa matatizo yote haya ni kuwepo kwa Katiba mbaya sana na Sheria zingine ambazo pia ni mbaya kwani zinawapa Kinga hao Wauaji wasiweze kuwajibishwa mahali popote pale.
1. Je, umeisoma vizuri Katiba ya nchi hii hususani kuhusu masuala ya Haki za binadamu? Kwenye Katiba ya nchi Kuna Ibara inayoeleza kwamba Vyombo vya Usalama (e.g, Polisi) vitatumia "nguvu ya kadiri" katika kutekeleza majukumu yao, Je, hiyo "nguvu ya kadiri" unaweza ukaipimaje?????Ungetutajia na Vifungu vinavyowapa mamlaka ya kuua
Watajiuzuru iwapo hawajui kinachoendelea lkn iwapo na wao ni wahusika, hawawezi kujiuzuru labda wawajibishwe.Kwa haya yaliyotokea na yanayoendelea kutokea. Ni ukweli kwamba imani yetu wananchi kwa jeshi la polisi imeshapotea.
Tumepoteza imani na Rais pia. Sababu za kupoteza imani ni kutochukua hatua thabiti dhidi ya vilio vyetu kuhusu utekaji, upotezaji na uuaji wa wananchi wa Tanzania.
Kwa kuwa taratibu za kumuwajibisha Rais siyo rahisi, lakini hawa wasaidizi wake ambao ni Waziri wa Mambo ya ndani na IGP tunaweza kupaza sauti wawajibike. Wawajibike kwa kujiuzulu.
Wajiuzulu
Wajiuzulu
Wajiuzulu
Mngechakaa, wangeletwa MP's Wachache tu msiba ungegeuka tafrani,Mzee Mbowe angetuachia sekunde kadhaa juzi pale msibani, Wallah Leo tungekua tumekula ubwabwa wa masauni
Ndio unataka kumpitishia mlango atakao tokea WA sasaKweli Ila hao inabidi watangulie kujiuzulu kwanza, hivi zile habari za Awadh ziliishia Wapi?
Yaani "chawa" wanaomshauri na kushabikia maovuKufika leo jioni wote waliohusika na mauaji ya Mzee Ali Kibao wawe wamejiuzulu.