Waziri Masauni na IGP Wambura, mnasubiri nini kujiuzulu?

kwa
Kwa haya yaliyotokea na yanayoendelea kutokea. Ni ukweli kwamba imani yetu wananchi kwa jeshi la polisi imeshapotea.

Tumepoteza imani na Rais pia. Sababu za kupoteza imani ni kutochukua hatua thabiti dhidi ya vilio vyetu kuhusu utekaji, upotezaji na uuaji wa wananchi wa Tanzania.

Kwa kuwa taratibu za kumuwajibisha Rais siyo rahisi, lakini hawa wasaidizi wake ambao ni Waziri wa Mambo ya ndani na IGP tunaweza kupaza sauti wawajibike. Wawajibike kwa kujiuzulu.

Wajiuzulu
Wajiuzulu
Wajiuzulu
kosa lipi?
 
Wanasubiri Mkeka maana utamaduni wa kujiuzulu haupo Tanzania.
 
lini ulikua na imani nao acha ushirikina wewe artist?

Amini Mungu Pekee.

viongozi wasio jasiri wasio na mipango ndio hukimbia mikwamo na matatizo kwa kisingizio cha kujiuzulu.
ni dhana ya kizamani ya kujipa umuhimu usiokua na maana kukimbia tatizo, ili umuachie nani?

yaani watu waviziane kwasabb za kisiasa au wafumaniea huko na kuumizana au kuuana mwingine ajiuzulu?🐒
 
mkeka ni katika kuimarisha ufanisi katika utendaji wa shughuli za kuwatumikia waTanzania na kuwapelekea Maendeleo 🐒
 
Hao wakijiuzulu leo, ama wakitumbuliwa. Utekaji na mauaji yakiendelea. Mtakuwa mkitaka watu, wajiuzulu tu? Ukitaka kuondoa mchwa, ondoa malkia wao.
 
Waondokeee!!!!! Wameshindwa kazi hatuwahitaji Tena.
Masauni anasema alienda pale kwa niaba ya rais kwa hio aliemtuma kwenda pale ni rais angekua ni maamuzi yake mwenyewe asingeenda pale wala asingetia mguu,
 
Hao wakijiuzulu leo, ama wakitumbuliwa. Utekaji na mauaji yakiendelea. Mtakuwa mkitaka watu, wajiuzulu tu? Ukitaka kuondoa mchwa, ondoa malkia wao.
Kweli Ila hao inabidi watangulie kujiuzulu kwanza, hivi zile habari za Awadh ziliishia Wapi?
 
Huwezi mbishia bosi wako, akikwambia ni amri siyo ombi. Si mnawachekea viongozi wakubwa, mnawaonea dagaa. Ndiyo wataongeza zaidi sababu wanajua hawaguswi wao. Hiyo ya Awadh itakuwa imenipita Mkuu, hebu nielezee
 
lini ulikua na imani nao acha ushirikina wewe artist?

Amini Mungu Pekee.

viongozi wasio jasiri wasio na mipango ndio hukimbia mikwamo na matatizo kwa kisingizio cha kujiuzulu.
ni dhana ya kizamani ya kujipa umuhimu usiokua na maana kukimbia tatizo, ili umuachie nani?

yaani watu waviziane kwasabb za kisiasa au wafumaniea huko na kuumizana au kuuana mwingine ajiuzulu?🐒
Mtu ambaye hujui kuishi bila uchawa ni laana kwa umma
 
Huwezi mbishia bosi wako, akikwambia ni amri siyo ombi. Si mnawachekea viongozi wakubwa, mnawaonea dagaa. Ndiyo wataongeza zaidi sababu wanajua hawaguswi wao. Hiyo ya Awadh itakuwa imenipita Mkuu, hebu nielezee
Awadh aliwatwanga mangumi Mnyika na Sugu kule Mbeya akawaburuza wote mpaka Mwenyekiti kutoka Mbeya hadi Dar au ndio wamemsamehe siku nyingine akawatwange tena na hakuna wa kumfanya kitu?
 
Kwa haya yaliyotokea na yanayoendelea kutokea. Ni ukweli kwamba imani yetu wananchi kwa jeshi la polisi imeshapotea.

Tumepoteza imani na Rais pia. Sababu za kupoteza imani ni kutochukua hatua thabiti dhidi ya vilio vyetu kuhusu utekaji, upotezaji na uuaji wa wananchi wa Tanzania.

Kwa kuwa taratibu za kumuwajibisha Rais siyo rahisi, lakini hawa wasaidizi wake ambao ni Waziri wa Mambo ya ndani na IGP tunaweza kupaza sauti wawajibike. Wawajibike kwa kujiuzulu.

Wajiuzulu
Wajiuzulu
Wajiuzulu
wa kuwajibika ni namba 1. tunazunguka mbuyu yeye ndiye anatoa order za mauaji
 
Waondokeee!!!!! Wameshindwa kazi hatuwahitaji Tena.
wa kuwajibika ni namba 1. tunazunguka mbuyu yeye ndiye anatoa order za mauaji
Awadh aliwatwanga mangumi Mnyika na Sugu kule Mbeya akawaburuza wote mpaka Mwenyekiti kutoka Mbeya hadi Dar au ndio wamemsamehe siku nyingine akawatwange tena na hakuna wa kumfanya kitu?
Huwezi mbishia bosi wako, akikwambia ni amri siyo ombi. Si mnawachekea viongozi wakubwa, mnawaonea dagaa. Ndiyo wataongeza zaidi sababu wanajua hawaguswi wao. Hiyo ya Awadh itakuwa imenipita Mkuu, hebu nielezee
Kweli Ila hao inabidi watangulie kujiuzulu kwanza, hivi zile habari za Awadh ziliishia Wapi?
Inavyoonekana wa-Tanzania wengi sana bado hawajui kiini hasa Cha matatizo mengi ya Kiutawala yaliyopo kwenye nchi hii, bado hawajui sababu za kuwepo kwa matatizo hayo.
 
Back
Top Bottom