Hata wakijiuzuru bado haitasaidia kitu chochote kile.Kwa haya yaliyotokea na yanayoendelea kutokea. Ni ukweli kwamba imani yetu wananchi kwa jeshi la polisi imeshapotea.
Tumepoteza imani na Rais pia. Sababu za kupoteza imani ni kutochukua hatua thabiti dhidi ya vilio vyetu kuhusu utekaji, upotezaji na uuaji wa wananchi wa Tanzania.
Kwa kuwa taratibu za kumuwajibisha Rais siyo rahisi, lakini hawa wasaidizi wake ambao ni Waziri wa Mambo ya ndani na IGP tunaweza kupaza sauti wawajibike. Wawajibike kwa kujiuzulu.
Wajiuzulu
Wajiuzulu
Wajiuzulu
Mzee Mbowe angetuachia sekunde kadhaa juzi pale msibani, Wallah Leo tungekua tumekula ubwabwa wa masauniHata wakijiuzuru bado haitasaidia kitu chochote kile.
We have to find the proper solution for this problem.
Hata wakijiuzuru bado haitasaidia kitu chochote kile.
We have to find the proper solution for this problem.
Na Raisi anamtumikia Nani , Kiasi kwamba hao mawaziri katika kumtumikia Raisi , juhudi zao zisiwafikie wananchiTatizo ni kwamba mawaziri wetu wanamtumikia Rais na sio wananchi.
Naunga mkono hojaKwa haya yaliyotokea na yanayoendelea kutokea. Ni ukweli kwamba imani yetu wananchi kwa jeshi la polisi imeshapotea.
Tumepoteza imani na Rais pia. Sababu za kupoteza imani ni kutochukua hatua thabiti dhidi ya vilio vyetu kuhusu utekaji, upotezaji na uuaji wa wananchi wa Tanzania.
Kwa kuwa taratibu za kumuwajibisha Rais siyo rahisi, lakini hawa wasaidizi wake ambao ni Waziri wa Mambo ya ndani na IGP tunaweza kupaza sauti wawajibike. Wawajibike kwa kujiuzulu.
Wajiuzulu
Wajiuzulu
Wajiuzulu
Tumechoka na utawala wa CCM.Kwa haya yaliyotokea na yanayoendelea kutokea. Ni ukweli kwamba imani yetu wananchi kwa jeshi la polisi imeshapotea.
Tumepoteza imani na Rais pia. Sababu za kupoteza imani ni kutochukua hatua thabiti dhidi ya vilio vyetu kuhusu utekaji, upotezaji na uuaji wa wananchi wa Tanzania.
Kwa kuwa taratibu za kumuwajibisha Rais siyo rahisi, lakini hawa wasaidizi wake ambao ni Waziri wa Mambo ya ndani na IGP tunaweza kupaza sauti wawajibike. Wawajibike kwa kujiuzulu.
Wajiuzulu
Wajiuzulu
Wajiuzulu
Kwani aliyewatuma yeye kajihuzulu?Kwa haya yaliyotokea na yanayoendelea kutokea. Ni ukweli kwamba imani yetu wananchi kwa jeshi la polisi imeshapotea.
Tumepoteza imani na Rais pia. Sababu za kupoteza imani ni kutochukua hatua thabiti dhidi ya vilio vyetu kuhusu utekaji, upotezaji na uuaji wa wananchi wa Tanzania.
Kwa kuwa taratibu za kumuwajibisha Rais siyo rahisi, lakini hawa wasaidizi wake ambao ni Waziri wa Mambo ya ndani na IGP tunaweza kupaza sauti wawajibike. Wawajibike kwa kujiuzulu.
Wajiuzulu
Wajiuzulu
Wajiuzulu
Utawala wa kishetani kabisaTumechoka na utawala wa CCM.
Kwa haya yaliyotokea na yanayoendelea kutokea. Ni ukweli kwamba imani yetu wananchi kwa jeshi la polisi imeshapotea.
Tumepoteza imani na Rais pia. Sababu za kupoteza imani ni kutochukua hatua thabiti dhidi ya vilio vyetu kuhusu utekaji, upotezaji na uuaji wa wananchi wa Tanzania.
Kwa kuwa taratibu za kumuwajibisha Rais siyo rahisi, lakini hawa wasaidizi wake ambao ni Waziri wa Mambo ya ndani na IGP tunaweza kupaza sauti wawajibike. Wawajibike kwa kujiuzulu.
Wajiuzulu
Wajiuzulu
Wajiuzulu
Sio kawaida ya watawala wa hii serikali ya CcmKwa haya yaliyotokea na yanayoendelea kutokea. Ni ukweli kwamba imani yetu wananchi kwa jeshi la polisi imeshapotea.
Tumepoteza imani na Rais pia. Sababu za kupoteza imani ni kutochukua hatua thabiti dhidi ya vilio vyetu kuhusu utekaji, upotezaji na uuaji wa wananchi wa Tanzania.
Kwa kuwa taratibu za kumuwajibisha Rais siyo rahisi, lakini hawa wasaidizi wake ambao ni Waziri wa Mambo ya ndani na IGP tunaweza kupaza sauti wawajibike. Wawajibike kwa kujiuzulu.
Wajiuzulu
Wajiuzulu
Wajiuzulu
Sio itikadiya watawala wa hii serikali ya CcmKwa haya yaliyotokea na yanayoendelea kutokea. Ni ukweli kwamba imani yetu wananchi kwa jeshi la polisi imeshapotea.