Waziri Masauni: Tuache kushutumu, mwenye kielelezo kuhusu mauaji ya Ali Kibao awasilishe

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema Serikali haitavumilia ukiukwaji wa haki za Binadamu na hatua zitachukuliwa kwa yeyote atakayebaini kuhusika na tukio la mauaji ya Ali Mohamed Kibao.

Amesema hayo wakati akitoa salamu za Serikali Jijini Tanga wakati wa Msiba wa aliyekuwa Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Ali Mohamed Kibao.

Pia soma:
~ Tafrani yazuka msibani Tanga: Waombolezaji wakataa dua ya Waziri Masauni wakimtaka ajiuzulu
~ Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao
~ Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni kuhudhuria mazishi ya Ally Mohamed Kibao jijini Tanga
 
Tukio la kuuawa huyo mzee limenisikitisha sana watu hawana hofu ya Mungu kabisa. Mzee wa watu kajizeekea vizuri tu akatulie na wajukuu zake watu wanamuua!
Kuna watu hawaamini ushirikina ila dadeki ningeenda hata njombe au makete kule hawakopeshi angeondoka mmoja baada ya mwingine kila aliyeshiriki kuanzia aliyeratibu mpango huo.
Nimeumia sana kwakweli.
 
Hawana lolote wanaona aibu ya kumwaga damu isiyo na hatia
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema Serikali haitavumilia ukiukwaji wa haki za Binadamu na hatua zitachukuliwa kwa yeyote atakayebaini kuhusika na tukio la mauaji ya Ali Mohamed Kibao.

Amesema hayo wakati akitoa salamu za Serikali Jijini Tanga wakati wa Msiba wa aliyekuwa Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Ali Mohamed Kibao.

Pia soma:
~ Tafrani yazuka msibani Tanga: Waombolezaji wakataa dua ya Waziri Masauni wakimtaka ajiuzulu
~ Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao
~ Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni kuhudhuria mazishi ya Ally Mohamed Kibao jijini Tanga
"Let us agreed that Black people cannot rule themselves, Whites are born in order to rule and Blacks are born to be ruled."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Hiyo ni kazi ya polisi kuchunguza kila panapotajwa kua na moto hata kama hakuna moshi unaofuka na yeye ndio bosi wao alafu analeta taarabu tena
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema Serikali haitavumilia ukiukwaji wa haki za Binadamu na hatua zitachukuliwa kwa yeyote atakayebaini kuhusika na tukio la mauaji ya Ali Mohamed Kibao.

Amesema hayo wakati akitoa salamu za Serikali Jijini Tanga wakati wa Msiba wa aliyekuwa Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Ali Mohamed Kibao.

Pia soma:
~ Tafrani yazuka msibani Tanga: Waombolezaji wakataa dua ya Waziri Masauni wakimtaka ajiuzulu
~ Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao
~ Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni kuhudhuria mazishi ya Ally Mohamed Kibao jijini Tanga

Kama mambo hayapatiwi majawabu, kwanini shutuma zisiwepo? Hawa waliotekwa wako wapi na nani amewateka? Kwaninin wametekwa?
Kuwa na siasa za upande tofauti sio suala la kutekwa wala kuuwawa. Nani anayefanya hiyo kazi na kwa maslahi ya nani?
 
Back
Top Bottom