Kama yalianza hiyo miaka umeshaawahi kujiuliza ufanisi upojeHaya yalianza mwaka 1990....
Iweje leo yaonekane mageni na yenye ukakasi?!!!
Tunaiamini serikali yetu kwa nia kuu iliyonayo.....
Bandari ya Dar es salaam inaweza kuchangia nusu ya bajeti ya nchi pale tu uwekezaji bora utakapofanyika....TEHAMA....mifumo kusomana kati ya TPA na TRA....
Kongole kwa serikali yetu ya awamu ya 6 [emoji120]
Kwa hiyo kusomana kwa mfumo ndo mpaka utafite mwekezajiSasa kipi unachopendekeza ?!!![emoji15]
Ya kwamba upembuzi yakinifu kufikia uamuzi huu haujafanyika?!!!
Ni kuwa kuhitaji mifumo ya tehama kusomana Kati ya TRA na TPA si suluhisho la changamoto katika bandari zetu?!!!
Wizi uboreshwe zaidi.Unapendekeza nini kifanyike?
Mimi rafiki yangu Mganda alifunga biashara yake nje ya nchi (Europe), lengo lake harudi kwao Uganda kufanya biashara ya uchukuzi.Watanzania hatuna uzalendo. Yanayofanyika pale Bandarini nusu ya mapato yanaingia mifukoni mwa watu. Mimi nashauri Bandari ibinafsishwe na mtakuja kuona mapato yatakavyopanda. Wezi ndo wanapinga zoezi hili ili waendelee kunufaika.
Nipo Kariakoo, napambana kwakweli kupata mbinu nyepesi ya kukwepa kodi.Unajivurumishia mitusi kutokea ubanda upi hapo Salasala?!!!
Inafaa waanzie huko.Ipo siku serikali nayo wata i outsource
Tunaze na bi mkubwa samia maana ndo kila kitu anaamini outsourcingInafaa waanzie huko.
WaTanzania wanapaswa kufanya maamuzi hayo kwa maana serikali yenyewe hawawezi kuji'outsource'; kwa kuwa ndio wanufaika wa uozo wote unaofanyika huku kwingine kote.
Unaonekana huna maadili kwa bandiko lako hili. Kwa nini umewashambulia Wagogo.mwisho tutageuka wagogo,watembea bakuli mabarabarani🤔
Pole mgogo mwenzangu,sikudhamiria kumdhalilisha mgogo,ila kusisitiza tu,kwa Kuwa wapo mijini na hawataki kutoka kwani baadhi wanaona ni moja ya kazi.Unaonekana huna maadili kwa bandiko lako hili. Kwa nini umewashambulia Wagogo.
Kiuungwana kabisa nakutaka uombe radhi
Ninachojuwa Deus Kakoko alikuwa mpinzani wa Bagamoyo Port akiwa ndiye chawa wa MagufuliHakuna sehemu ata moja ambayo waziri kaeleza hiyo kampuni itakayopewa tender itaongeza ufanisi kwa kiasi gani au hata ufanisi wenyewe unapimwaje.
Hakuna lolote la maana kutoka kwa Mbarawa zaidi ya porojo tu za mifano ya watu walio outsource hizo huduma sehemu zingine, sasa wengine wakifanya na nyie lazima muige as if wote sababu zenu za maamuzi sawa.
Worst hakuna mmbunge alietaka kuelezewa huo ushushaji wa mizigo utaongezekaje tofauti na leo, jamaa wanaokuja wanaongeza vifaa, muda wa kazi or how exactly wao watafanya kazi kwa ubora kushinda TPA leo given the same environmental factors.
Hoja kubwa ya bandari kwa maelezo ya wakurugenzi wanyuma wa TPA inayo sababisha meli kuchelewa ilikuwa kwamba imefikia saturation point on space wise. Uwezo wa kushusha mizigo ni mkubwa kuliko sehemu ya kuhifadhi na speed ya kuitoa.
Ndio msingi mmoja wapo wa kutaka kwenda Bagamoyo; bandari ya Dar can not be expanded anymore there is no space to handle cargo volumes given the supply. Kwa hivyo sababu ya kwenda Bagamoyo sio kwa mantiki ya kupokea meli kubwa tu kwenda kutia nanga. Isipokuwa mizigo inayokwenda Dar leo bandari aina uwezo wa kuishusha na kuitoa haraka wapo limited by storage space. Hiyo ndio sababu ya msingi inayosababisha bottle neck na kupelekea mlundikano wa meli.
Kakoko alilielezea kwa kina hilo kwanini lazima wajenge Bagamoyo either kwa hela za ndani au mwekezaji kwa terms sahihi; lakini Bagamoyo aikwepeki.
Sasa wewe unaambiwa serikali ina outsource hizo services kwa mtu mwingine kwa lengo la kuboresha ufanisi. Wala uulizi how exactly ataboresha huo ufanisi ili uwe na kigezo cha kupima na akishindwa kufikia hayo malengo je? kuna kipengele cha kuvunja huo mkataba kirahisi au ndio anabaki tu burebure hapo.
Nchi imejaza mijitu mihuni mihuni na mijizi isiyokuwa na uzalendo kila sehemu; jumlisha wabunge vilaza kwa asilimia zaidi ya tisini; upuuzi mwingine toll roads.
Unapata picha kwanini Magufuli akutaka kuendelea na huyu poyoyo kama waziri wake ni zero.
Professor Mbarawa ni mzaliwa wa mkoa gani Tanzania bara?Ushirikishwaji wa Sekta Binafsi Katika Shughuli za Uendelezaji na Uendeshaji wa Bandari
229. Mheshimiwa Spika, Ushirikishaji wa Sekta Binafsi katika uendeshaji wa shughuli za bandari zilianza kuchukuliwa na Serikali mwishoni mwa miaka ya 1990 kupitia Tume ya Kurekebisha Mashirika yaUmma (Parastatal Sector Reform Commission-PSRC).
Mwaka 2000, Serikali iliamua kuingia Mkataba na Kampuni binafsi ya Tanzania International Container Terminal Services (TICTS) kwa ajili ya uendeshaji waKitengo cha Makontena Gati Na. 8 – 11 katika Bandari ya Dar es Salaam. Katika kipindi chote cha utendaji kazi wa TICTS, Serikali kupitia TPA imepata mafanikio yafuatayo katika kipindi cha mwaka 2001 hadi 2021.
i. Uwekezaji katika manunuzi ya mitambo ya kuhudumia shehena, miundombinu, mifumo ya TEHAMA na kuwajengea uwezo wafanyakazi;
ii. Kuongezeka kwa shehena ya makasha kutoka makasha ya futi ishirini 382,000 mwaka 2012 hadi kufikia makasha 642,000 mwaka 2021 sawana ongezeko la wastani wa asilimia 8.0 kwamwaka; na94
iii. Kampuni hiyo iliweza kulipa kodi na tozo nyinginezo za Bandari kutoka kiasi cha Shilingi bilioni 235 mwaka 2012 hadi kufikia Shilingi bilioni 635 mwaka 2021.230.
Mheshimiwa Spika, Hata hivyo, pamoja na mafanikio hayo kumekuwa na changamoto kadhaa zikiwemo:
i. Kushindwa kuchagiza shughuli za kibandarikatika mnyororo wa usafirishaji;
ii. Uwekezaji mdogo katika mitambo ya kupakia nakupakua mizigo;
ii. Urasimu wa uondoshaji wa mizigo bandarini;kutokuwa na maeneo ya kutosha nje ya bandariili kupunguza msongamano bandarini;
iv. Kutofanya ukarabati wa miuondombinu yabandari, kutofanya ukarabati wa mitambo kwawakati; na
v. Kutokuwa na mikakati ya kuvutia shehena kupitia Bandari ya Dar es Salaam; kutowekeza katika mifumo ya TEHAMA ya kisasa inayosoma na na mifumo iliyopo TPA.
Kwa kutambua kuwa, TPA pekee haitaweza kutatua changamoto za Bandari zilizopo na kuongeza ufanisi wa bandari nchini, Serikali iliamua kuanzisha jitihada zakutafuta wawekezaji ambao watakuwa na uwezo wakutatua changamoto zilizobainishwa hapo juu.
231. Mheshimiwa Spika, hatua hizo zimehusisha kukutana na kufanya majadiliano na wawekezaji mbalimbali. Baadhi ya wawekezaji waliojitokeza wameonesha nia ya kuwekeza katika maeneo mbalimbali ya bandari nchini ikiwemo; Bandari ya Dar es Salaam, Bandari ya Tanga, Bandari ya Mtwara, Maeneo ya Bandari Kavu na Bandari za Maziwa Makuu ili kulenga soko la nchi zinazotuzunguka, ambalo linakua kwa kasi.
Kama ilivyo kawaida, Bunge lako Tukufu litashirikishwa ipasavyo wakati wa kuridhia Mkataba baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali yaDubai (Inter Governmental Agreement – IGA) kwa ajili ya ushirikiano wa kuboresha, kuendesha na kuendeleza maeneo ya bandari nchini.
Una pointWatanzania hatuna uzalendo. Yanayofanyika pale Bandarini nusu ya mapato yanaingia mifukoni mwa watu. Mimi nashauri Bandari ibinafsishwe na mtakuja kuona mapato yatakavyopanda. Wezi ndo wanapinga zoezi hili ili waendelee kunufaika.
Ni uongozi wa ajabu sana huu usioamini kwamba waTanzania wanaweza kufanya mambo na wakapata maendeleo.Tunaze na bi mkubwa samia maana ndo kila kitu anaamini outsourcing
Ninachojuwa Deus Kakoko alikuwa mpinzani wa Bagamoyo Port akiwa ndiye chawa wa Magufuli
Kwanini sasa Kakoko na Magufuli wake hawakujenga kama walikuwa wana unga mkono?
Huyo hapo akielezea bandari ya Bagamoyo lazima ijengwe; iwe na mwekezaji au serikali.
Leta wewe ushahidi wako akikataa hiyo bandari isijengwe.
Hivi nyie watu wenye chuki na Magufuli utadhani mlijificha kwenye maandaki kipindi chake na kutoelewa nini kilikuwa kinaendelea.
Shida yao aikuwa bandari isijengwe, ila kama ni FDI basi iwe yenye tija. Na walitumia muda mwingi sana kuelezea condition za ovyo. Na walisema wazi negotiations zikishindikana serikali itabidi ijenge yenyewe kwa sababu hiyo bandari aikwepeki.
Sasa nyie sijui hizo habari zenu mmezitoa wapi au ndio kumeza porojo za kigogo bila ya kusikiliza serikali.
Ulitaka afanye miradi mingapi mikubwa kwa wakati mmoja.Kwanini sasa Kakoko na Magufuli wake hawakujenga kama walikuwa wana unga mkono?