Waziri Mbarawa ataja sababu za kubinafsisha bandari zetu kwa wageni

Alama gani zaidi ya kuua wasio na hatia na kutuibia fedha zetu? Misukule nyinyi tu ndiyo mnaona muziki mrefu lakini hakuna cha ajabu
 
Alaaniwe aliyetoa wazo hilo ambalo linaweza kuvuruga usalama wa nchi na watu wote waseme; AMINA.
 
Hapa nipo pamoja nawe.

Muhimu zaidi ambalo ni lazima lisisitiziwe, "kelele nyingi" toka sehemu mbalimbali, ikiwemo humu JF, ndizo zilizotuokoa na mradi huo mchafu ulivyokuwa mwanzo na kukataliwa na Magufuli.

Samia kajaribu kuuangalia upya kama angeweza kuupitisha, lakini zile "kelele nyingi" zikamjaa akilini, akaona hana njia ya kuupitisha mradi huo na kuzima hizo kelele. Akautema.

Kwa hiyo. KELELE zilisaidia sana hapa.
 
 
Okay Prof hili la Bandari limeisha Sasa hivi tunajadili Al Ahly vs Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…