Waziri Mbarawa: Treni yetu ya SGR haiwezi kwenda Spidi 160 kwa Saa, tunaenda kwa Awamu

Waziri Mbarawa: Treni yetu ya SGR haiwezi kwenda Spidi 160 kwa Saa, tunaenda kwa Awamu

unajua unajichanganya.
teknolojia ya treni ya umeme hipo mda mrefu hata nchi bado kupata uhuru.wewe unataka treni ambayo ni teknolojia hata steji ya pili bado.hiyo magnet ni teknolojia mpya kwa dunia ya sasa sawa na gari za umeme kama tesla.
usiluke mambo
Soma kichwa cha thread yako,,
Mi nimekufahamisha kwamba hatuwezi kuwa na treni kama ya Japan (ulitaja kwenye heading)...

Hizo Japan wana treni za mwendokasi wa km300 + for over 20 years sasa.
 
Yaani unamshukuru mjomba wako kwa kutudanganya sisi! Mbona Kenya hawakua na mbambamba hizi.
Dash Mkuu hauwezi kuandika mpaka utukane Wakenya wana nini ? Mimi sina Ushamba wa kitu nachokiona USA kiwe sawa na Tanzania hiyo Treni SGR SA wanaiita Iyege nimeanza kuipanda 1998 achana na hili la mwendokasi ambalo SA nao wametengeneza 2010 ila nilitumia Spain na Huko Nchi za Asia hizi mambo za kutaka leo Tanzania iwe sawa na train za Spain sahau kitu kama hicho Mkuu...
 
Kwamba ni kama mtoto kwanza anatambaa na kutembea kabla hajaanza kukimbia ? Tuombe tu asichukue miaka kuanza kukimbia au kufariki kabla hajakimbia.....

Hawa wadau wamekuwa watu wa talking the talk without walking the talk
 
Zile treni za china zinatembea kama jet, acha tusibiri mradi ukishaanza kazi tuone
Zile ni magnet zinatumia,sio hata umeme.ikitembea inavutwa na sumaku mwisho wa safari.
Speed ndogo 300kmh.zipo hadi 700kmph
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Hata hapo huyo Profesa si katudanganya bhanaa!?
Eti higher speed trains ni 200kmph lamamayeee.Aende China huko treni zinazoundwa sasa hivi zinakata upepo wa spidi hadi kilometa buku.
Siasa Tz siasa kila kitu siasa.
Hata umeme mgao walisema vivyo hivyo mgao mwisho February 17 kilichotokea Yesu mwenyewe hapendi.
Shida kubwa ya kwanza ni UMEME WA KUENDHESHEA hizo treni.
Jaribio la kwanza umeme ulizingua treni ikapungua ufanisi ikiwa njiani.
Tren za china, highspeed trains zinazotembea 300km/h and above bado hatuna miundo mbinu yake kwa sasa. Zile train zina hitaji vitu vingi , mtoto haanzi kukimbia. Anaanza kutambaa. Hata kwa hili mshukuru. Mnataka high speeds trains mna hela zake kwa sasa?
 
Zile ni magnet zinatumia,sio hata umeme.ikitembea inavutwa na sumaku mwisho wa safari.
Speed ndogo 300kmh.zipo hadi 700kmph

Zile ni magnet zinatumia,sio hata umeme.ikitembea inavutwa na sumaku mwisho wa safari.
Speed ndogo 300kmh.zipo hadi 700kmph
Kaka ujifunze nextime, rail ambazo maglev trains zinatumia zina umeme, na train yenyewe ni ya umeme. Ule umeme ndio una generate electro magnet, unaposema haitumii umeme inatumia magnet, unadhani hiyo magnetic power inakuwa generated na kitu gani?
 
Aseme tu ni electomagnetic, sumaku na umeme ni ndugu kabisa hawa
 
Kaka ujifunze nextime, rail ambazo maglev trains zinatumia zina umeme, na train yenyewe ni ya umeme. Ule umeme ndio una generate electro magnet, unaposema haitumii umeme inatumia magnet, unadhani hiyo magnetic power inakuwa generated na kitu gani?
Hapo sikujibu,mi sio engineer.
Ushawahi kupanda hata hiyo train?
 
Dash Mkuu hauwezi kuandika mpaka utukane Wakenya wana nini ? Mimi sina Ushamba wa kitu nachokiona USA kiwe sawa na Tanzania hiyo Treni SGR SA wanaiita Iyege nimeanza kuipanda 1998 achana na hili la mwendokasi ambalo SA nao wametengeneza 2010 ila nilitumia Spain na Huko Nchi za Asia hizi mambo za kutaka leo Tanzania iwe sawa na train za Spain sahau kitu kama hicho Mkuu...
Mbona sijaweka tusi lolote! Kama kunatusi samahani inawezekana kiswahili kimekua.
Treni ya SGR Kenya ina mwendo kasi zaidi ya hii yetu, huo ndio ukweli. Huu mpango wa kubadili reli ulipitishwa na Jumuia ya Afrika Mashariki(EAC) kwa sababu nchi zote tatu reli zimeungana.
 
Hongera kwa hatua mliyofikia nawapongeza sanaa maana sio kweli leo tuwe na train sawa na Gauteng trains au Train za Hong Hong tunashukuru kwa kilichopatikana maana kufika huko ni hatua na wao walianza huku huku mpaka kufika huko..
Tatizo kuja kuendesha na kuusimamia huo mradi

Ova
 
Back
Top Bottom