greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
Soma kichwa cha thread yako,,unajua unajichanganya.
teknolojia ya treni ya umeme hipo mda mrefu hata nchi bado kupata uhuru.wewe unataka treni ambayo ni teknolojia hata steji ya pili bado.hiyo magnet ni teknolojia mpya kwa dunia ya sasa sawa na gari za umeme kama tesla.
usiluke mambo
Dash Mkuu hauwezi kuandika mpaka utukane Wakenya wana nini ? Mimi sina Ushamba wa kitu nachokiona USA kiwe sawa na Tanzania hiyo Treni SGR SA wanaiita Iyege nimeanza kuipanda 1998 achana na hili la mwendokasi ambalo SA nao wametengeneza 2010 ila nilitumia Spain na Huko Nchi za Asia hizi mambo za kutaka leo Tanzania iwe sawa na train za Spain sahau kitu kama hicho Mkuu...Yaani unamshukuru mjomba wako kwa kutudanganya sisi! Mbona Kenya hawakua na mbambamba hizi.
Maelezo amekuja kutoa 3wks later😄😄Kuna wajuaji hapa watakuja kuuliza mbona bullet train ya Japan..nini...
Mradi ujuaji tu
Wewe huwa unawaamini wanasiasa kwa kila wasemacho?walikuwa na maana gani kusema ya kasi inayotumia umeme
Nani kawakataza?
Zile ni magnet zinatumia,sio hata umeme.ikitembea inavutwa na sumaku mwisho wa safari.Zile treni za china zinatembea kama jet, acha tusibiri mradi ukishaanza kazi tuone
Waziri Wa UchukuziNani kawakataza?
Nani kawakataza?
Tren za china, highspeed trains zinazotembea 300km/h and above bado hatuna miundo mbinu yake kwa sasa. Zile train zina hitaji vitu vingi , mtoto haanzi kukimbia. Anaanza kutambaa. Hata kwa hili mshukuru. Mnataka high speeds trains mna hela zake kwa sasa?Hata hapo huyo Profesa si katudanganya bhanaa!?
Eti higher speed trains ni 200kmph lamamayeee.Aende China huko treni zinazoundwa sasa hivi zinakata upepo wa spidi hadi kilometa buku.
Siasa Tz siasa kila kitu siasa.
Hata umeme mgao walisema vivyo hivyo mgao mwisho February 17 kilichotokea Yesu mwenyewe hapendi.
Shida kubwa ya kwanza ni UMEME WA KUENDHESHEA hizo treni.
Jaribio la kwanza umeme ulizingua treni ikapungua ufanisi ikiwa njiani.
Zile ni magnet zinatumia,sio hata umeme.ikitembea inavutwa na sumaku mwisho wa safari.
Speed ndogo 300kmh.zipo hadi 700kmph
Kaka ujifunze nextime, rail ambazo maglev trains zinatumia zina umeme, na train yenyewe ni ya umeme. Ule umeme ndio una generate electro magnet, unaposema haitumii umeme inatumia magnet, unadhani hiyo magnetic power inakuwa generated na kitu gani?Zile ni magnet zinatumia,sio hata umeme.ikitembea inavutwa na sumaku mwisho wa safari.
Speed ndogo 300kmh.zipo hadi 700kmph
Aseme tu ni electomagnetic, sumaku na umeme ni ndugu kabisa hawaKaka ujifunze nextime, rail ambazo maglev trains zinatumia zina umeme, na train yenyewe ni ya umeme. Ule umeme ndio una generate electro magnet, unaposema haitumii umeme inatumia magnet, unadhani hiyo magnetic power inakuwa generated na kitu gani?
Hapo sikujibu,mi sio engineer.Kaka ujifunze nextime, rail ambazo maglev trains zinatumia zina umeme, na train yenyewe ni ya umeme. Ule umeme ndio una generate electro magnet, unaposema haitumii umeme inatumia magnet, unadhani hiyo magnetic power inakuwa generated na kitu gani?
Mbona sijaweka tusi lolote! Kama kunatusi samahani inawezekana kiswahili kimekua.Dash Mkuu hauwezi kuandika mpaka utukane Wakenya wana nini ? Mimi sina Ushamba wa kitu nachokiona USA kiwe sawa na Tanzania hiyo Treni SGR SA wanaiita Iyege nimeanza kuipanda 1998 achana na hili la mwendokasi ambalo SA nao wametengeneza 2010 ila nilitumia Spain na Huko Nchi za Asia hizi mambo za kutaka leo Tanzania iwe sawa na train za Spain sahau kitu kama hicho Mkuu...
Kama kitu ni magumashi unategemea nini, kuna mambo yanasikitisha mno.
Mkuu kwetu uangalifu mdogo sana watu hawajaliKuna wajuaji hapa watakuja kuuliza mbona bullet train ya Japan..nini...
Mradi ujuaji tu
NImeshangaa Kumsikia anakana anasema Treni ima mwendo wa kawaida na sio speed..Kama kitu ni magumashi unategemea nini, kuna mambo yanasikitisha mno.
Tatizo kuja kuendesha na kuusimamia huo mradiHongera kwa hatua mliyofikia nawapongeza sanaa maana sio kweli leo tuwe na train sawa na Gauteng trains au Train za Hong Hong tunashukuru kwa kilichopatikana maana kufika huko ni hatua na wao walianza huku huku mpaka kufika huko..