Waziri Mbarawa: Treni yetu ya SGR haiwezi kwenda Spidi 160 kwa Saa, tunaenda kwa Awamu

Kenya train yao ni 120km/h sidhani kama ni kiwango kikubwa sana
 
Hapo linaandaliwa tukio ili tuyaamini maneno ya waziri.
Tutasikia.."hata waziri alishalitolea ufafanuzi" kumbe ndo imeenda hiyo!
 
Unajua watu wa namna hiyo wakifanya hata kidogo ni kuwashukuru kuliko kuja kusikia taarifa ya CAG harafu wezi hawafanywi kitu...
Hata hii huenda tumepigwa, treni rasmi haijaanza wao wanashauri eti watu binafsi nao wawe na treni zao! Ndiyo hizo injini na mabehewa mapya, yetu ya mitumba.
 
Hata hii huenda tumepigwa, treni rasmi haijaanza wao wanashauri eti watu binafsi nao wawe na treni zao! Ndiyo hizo injini na mabehewa mapya, yetu ya mitumba.
Kupiga lazima wapige ndio maana mimi nashukuru hata kwa hiki kidogo kilichobaki sasa ninyi mnataka zipigwe zote tusomewe taarifa na CAG...ukisikia kiongozi anasema maendeleo ya Nchi ni kuwa na namba E nyingi bara barani jua kuna tatizo kubwa zaidi ya hili tunalolijua...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…