YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Waziri Mbarawa yuko sahihi Askari wa Traffic wanachangia ugumu kwenye sekta ya Usafirishaji
Alikuwa akiongelea kuhusu kupunguzwa kwa vituo vya mizani ili mizigo iwahi inakoenda alisema ni vizuri na askari was Traffic wakapunguza usimamishaji magari ili mizigo iwahi inakoenda
Naunga mkono hoja hiyo Rais kama alivyokutana na viongozi wa machinga akutane pia na wamiliki na viongozi wa chama cha madereva na makondakta wa malori na daladala wazungumze naye kuhusu kero za maruhuni Traffic njiani
Mfano daladala Dar kuwa nayo ni kuanzisha mradi wa kuwanufaisha Traffic.Ukiongea na madereva na makondaka wanasema kila siku lazima watoe pesa kwa traffic kwenye route Zao hasa Dar .Wanasimamisha kuchelewesha watu safari zao
Magari ya mizigo ndio usiseme ni kupigwa mkono simama hadi ukome njia nzima